Naomba msaada wa kuelimishwa juu ya namna ya kuondoa kovu kwenye paji la uso kwa mtu ambae aliwekewa akiwa mdogo, kovu linakua kama jinsi ilivyo ndonya (shilingi) au kama wanavyowekewa kabila la...
Uzi huu ni maalum kwa wale ote wenye nywele za singa,tumeane dondoo jinsi ya kuzitunza kama mafuta na mengine mengi ili ziwe za kuvutia zaidi.
Nawasilisha
Napenda kutumia nafasi hii kuwapa salam wote ninyi wahangaikaji ndani ya uzini huu special ,asallam,samahani naomba aliye na ujuz wa wakurefusha ndevu.ziwe ndefuu na Nene nyeusi tafadhil sana...
Wakuu nawasilimieni nyote,
Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu,
Nimejaribu kabla ya ku-post uzi huu kuona kama kuna uzi ulishawisilishwa humu wa namna/njia/dawa/mafuta maalum yasiyo na...
Mtindo mpya wa kuacha ndevu zilizo na mvi 'ulioibuliwa' na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe umeonekana kupata wafuasi baada ya Mbunge wa Rombo Joseph Selasini kuonekana katika mtindo...
Kuna wadada mpaka leo wanaamini kua sisi wanawake tunaweza kufanya kila kitu wanaume wanafanya,
My dear wewe unaweza kuvaa nguo ya ndani moja kwa wiki nzima?
Tukubali tu vitu vingine ni wao tu...
Jamani hili suala najiulizaga kila siku
Sijawahi kumuona mwanamke mwemba amejifunga kanga ila leo nimemuuliza rafiki yangu hili swali amesema kuwa wanaogopa eti wataonekana kama wana mguu mmoja...
Wale wanaopiga mswaki nje ya nyumba hasa wanaume tena kandokando ya njia huku wamevaa vibukta vifupi vimeishia kwenye mapaja na tumbo wazi sio ustaarabu.
Jana kwenye msiba wa Masogange (R.I.P) nilipata kuwaona wasanii wengi wakiwa nje ya studio za kufanyia shooting.
Wengi walikuwa na muonekano wao wa asili usioboostiwa na make ups.
Wengi kwa kweli...
Naomba mwenye ufaham mzuri wa list kamili ya vifaa kukamilisha salun ya kike anisadie. Nikijua bei ya kila kimoja kwa dar, zanzibar au mwanza nitashukuru.
Jana tulikuwa tunamzika brother Kizzo. Huyu jamaa alikuwa mtu wa watu kweli kweli. Katika umri wake aliyeishi duniani amegusa watu wengi waliokuwepo msibani watanielewa. Kila aliyesimama alisema...
Ivi zamani kidogo wanawake walikua wakivaa idadi ya nguo zisizopungua tano yaani sidiria, blause,chupi,underskirt, na skirt yenyewe ila sikuiz kuna wakati zinavaliwa nguo tatu chupi,suruali na...
Wadau habari zenu,
Naomba msaada kwa anaejua lotion/mafuta yatakayomfaa mwanaume ambae anaishi sehemu zenye baridi, maana hufifia sana rangi na kubadilika kuwa mweusi sana sehemu zilizo wazi(usoni...
Niliona juzi vijana wakitetea bwana mdogo mmoja ambae inasemekana ana miaka 20 aliepiga picha na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, dogo ana mwili mkubwa na amenenepeana sana.
Watu wakawa wanasema...