Habari za muda huu wapendwa...
Kuna tatizo la sasa la wanawake baada ya kujifungua tu, utakuta mtu anafumuka kama anakula amira.
Mwaka jana mwezi wa 1 nilibahatika kupata baby boy lakini kwa njia...
Nyakati za leo ambapo uvaaji chupi kwa wanaume na wanawake uko juu sana kuanzia watu tunapokuwa watoto wadogo hali ya Afya ya viungo vya uzazi imeendelea kuwa mbaya sana.
Yafuatayo ni baadhi ya...
Habari wapendwa,
Kuna huu mtindo nauona kwa watu wa mjini Dar wakiongozwa na wasanii kuvaa miwani ya jua usiku tena hata kwenye kumbi za starehe na club.
Je ni ujanja au ulimbukeni nisaidieni...
*QUALITY ASSURANCE DRESS CODE FOR MEN*
Looking good is very important but how many men actually know what it takes to look good
*Here are 18 style rules every man should live by*
1. Your belt...
Huwa najiuliza wanawezaje? Wakati wa ujauzito mwili upo vile vile, akijifungua mwili upo vile vile, je hawali sana? Kama hawali mtoto anapaje maziwa?
Mfano Hamisa mobeto, napenda jinsi...
Kinadada wengi huangaika mara kwa mara kwa lengo la kuhitaji kuwa na nywele nzuri zenye muonekano mzuri kila siku, lakini kwa bahati mbaya sana si wote wanabahatika kufanikiwa kuwa na nywele hizo...
Hivi wakina dada hizo lipstick huwa zina nini aisee maana tukiwakiss huwa tunahara kweli, yaani unakuta bidada kajikandika lipstick kama karai la kuchamganyia udongo mfinyanzi!
Utasikia Just kiss...
Umuofia kwenu wanajamvi,
Nimekuwa nashangazwa na tabia za wanaume wenzangu ambao huwa hawachani nywele zao na hivo kuwafanya kuwa very rough and dirt guys. Hii inatokana na ubusy wa mtu au uchafu...
Wapenzi nina nywele za asili ni ndefu sana, lakin nikichana sasaI hivi zina toka hadi mzizi, na juu zinakatika . je nikipaka extra virgin oil(olive) yatanisadia
wenye nywele natural naomba...
Amani iwe kwenu.
Kama nilivyo anza na kichwa cha habari mwenye ujuzi ama ufahamu wa kwanini nguo ugeuzwa ndani nje wakati wa kuanika baada ya kufuliwa?
Nawakilisha
Siku hizi kuna ongezeko la wanaume kuvaa pensi fupi
Unakuta msela ana guu la bia halafu laini hata kovu hana anavaa pensi ujue anaonekana kama shoga
Mwanaume rijali kama mimi mguu umekomaa na...
Nisaidieni aina ya body spray nzuri kwa wanawake ambayo inanukia vizuri na kwa muda mrefu,,nataka nimnunulie mke wangu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukuaji wa teknolojia umeongeza kwa kasi mabadiliko katika ujenzi wa nyumba zetu miaka ya nyuma wengi walipaka rangi cream au nyeupe kwa ndani tofauti na siku hizi ambapo rangi huchanganywa kwa...
Yaani siku izi wadada wengi haswa warembo na wa maofisini wanamchezo wa kutembea na tishu na vijitambaa flani mfano wa tishu vinakuwa na unyevu unyevu hivi sasa kumbe hizi tissue na vijitambaa ndo...
Habari zenu wana jamii!
Ninaomba kujua nini hasa dhumuni la mwanamke kuvaa shanga? Je wakati wa majambozi nini mwanaume anapaswa kufanya au kuzichezea vipi hizo shanga? Kama kuna ujuzi wowote...
Habari za mishe za mchana wadau.twende kwenye mada,hivi hawa mabraza men wanaovaa vile vijinsi vinavyobana ndo fasheni au vp.utakumkuta mtoto wa kiume kavaa kijinzi kinabana mnoo ndo nini...
Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?
Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.