Habarin za Jion Wakuu,
Baada ya kukaa takriban miaka minne nikiwa si registered member finally i have decided to join this platform.
Naombeni mnipokee..
Natanguliza shukhrani...
Habari wakuu,
Naomba kukaribishwa "home of great thinker" rasmi kama mdau baada ya kuwa mfuatiliaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu
Nawasilisha,
Asanteni Sana.