"Being Famous on Jamii Forum is Like being Rich in Monopoly" Habari wana Jamii, Mimi ni member mpya humu,natumaini tutakua pamoja tukishirikiana kuchangia&kushauriana...
Jamani mi ni mgeni naitaji kukaribishwa kwa unyenyekevu maana nimevutiwa na kuhusu mwendelezo wa nafasi za kujiunga za jkt na jwtz na mm ni m1 wapo na KUONDOSHA STRESS kumenikamata kidog
Sent...
Wa ndugu habari zenu! Nimeona namimi nisiishie kuchungulia dirishani bali niingie ndani nijionea mwenye vilivyomo ,tafadhali naomba ukaribisho.
Asante sana.
Mko poa? Jamani mm ni mgeni wenu nipokeeni.
Nilikuwa napita pita kwa nje tu Leo nimeona nami niingie kwenye jumba lenu humu.
Napenda kulala pa zuri, kula vizuri, kukaa pazuri, kuongea...
Habari wanajamiiforum,
Hatimaye na mm nimejiunga nanyi naomba mnipokee vyema....
Ili nia yangu ya kujifunza vitu vingi kupitia media hii niweze kuifanikisha...
Asanteni.
Sent using Jamii Forums...
Mimi mgeni wa kuanzisha thread ila ni mwenyeji wa kusoma habar mbal mbal humu, nimeamua kujiunga rasmi jana naomba mnipe ushiriano.
Mm ni ke umri 25 picha cwek maana hamchelew kusema hilo...