Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Wakuu ninaomba muongozo wenu
2 Reactions
69 Replies
4K Views
Habari za majukumi wa jf Mimi ni member mpya jamani naombeni tujuane na nahitaji ushirikano wenu...!! Ahsante
2 Reactions
15 Replies
839 Views
naitwa nganga jr natokea mbeya
1 Reactions
5 Replies
727 Views
Habari zenu waungwana.Leo ninafuraha kubwa kujiunga nanyi.Naomba tuwe pamoja. Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
7 Replies
559 Views
Habari zenu wadau na watanzania wenzangu, ni member mpya wa jf hivyo naomba tushirikiano wenu ktk hatuwa zote
0 Reactions
11 Replies
952 Views
Habari wana JF. Ni matumaini yangu kuwa mko poa wote humu ndani na mnapambana na majukumu ya hapa na pale. Kiukweli, ni jambo la kushukuru sana kwa kuwa tuko safi na wenye afya njema. Bila...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu. Mimi ni member mpya. Naomba ikbali chenu kushiriki katika majukwaa haya.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
NOW AM BACK PLEASE NAOMBENI USHIRIKIANO WETU WATU WANGU JF
0 Reactions
6 Replies
629 Views
Me mgeni humu, hope mtanikaribisha
0 Reactions
11 Replies
884 Views
Hello JamiiForums Nimefurahi kuwa mwanafamilia hapa Naomba kukaribishwa na kupewa mwongozo Shukria.
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo? Mimi ni mgeni katika mtando huu naomba ukaribisho wenu ahsante
0 Reactions
6 Replies
870 Views
Habari zenu wana JF! najitambulisha kwenu wakubwaaa! am proud to be here at last!
0 Reactions
5 Replies
558 Views
Natumai mko salama, nimekua mdau Wa Jf tangu mwaka 2009 nikimiliki account lakini kuna tatizo lilitokea sikuweza ku-sign in tena hivyo nimeamua kurudi tena humu. Nategemea kujifunza mazuri toka...
1 Reactions
5 Replies
926 Views
habari bandugu, mimi ni mgeni..... naamini nitanufaika mengi kupitia ninyi asante
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Hodihodi humu ndani
0 Reactions
4 Replies
700 Views
Mm ni mgeni kwenye jamii forum naomba mnipokee
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Eti jaman huku nako Kuna ma admin
1 Reactions
9 Replies
964 Views
Mimi ni mdau mgeni hapa naomba ushirikiano wenu katika kujadiliana kupeana taarifa kufarijiana na hata kupeana ushauri na burudani Aksante pamoja Luv you all.
0 Reactions
3 Replies
882 Views
hello jamii forums....members mimi ni mdau wa jamii forums....tangu enzi za jambo... enzi hizo internet cafe ,,,,,zikiwa katika chart, Nimeamua niwe member kamili,,,, Naahidi nitakuwa member...
0 Reactions
5 Replies
831 Views
Hodi Jf, Mimi ni mgeni, nimefurahi sana kujumuika nanyi. Nimekuwa nikijisomea nje, bila ya kuwa member hivyo ngoma imeninigea na sina budi kuicheza. Naomba Ushirikiano wenu Wakuu.
1 Reactions
12 Replies
626 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…