Katika wiki tatu zijazo nitakuwa nafikisha umri wa miaka mitano kama mwanachama hai wa JF. Nilijiunga rasmi tarehe 10 October 2006, na katika kipindi chote cha uanachama wangu wa JF, nimeshughudia...
Asikuambie mtu huyo jamaa kawakaribisha watu Sana hapa jamvini kipindi kile JF ilikua na watu km 90k . Hongera sn watu 8 Una moyo WA upendo hakika you're humbled.
Mambo zenu natumai muwazima na mmeumaliza na kuuanza mwaka vizuri. Mimi niko bomba naomba mnipokee vizuri msinibague kwa kuwa mimi ni WA msumbiji.
Salve africa
[emoji170] Habari Tanzania
[emoji843]Napenda kuitambulisha kwenu page mpya ya washabiki wa chelsea Tanzania.
[emoji843]Page itakua na habari zote muhimu kwa ajili yako mnazi wa chelsea...
Habarini wadau, Baada ya kusoma nyuzi za JF kwa mda mrefu (since 2011) bila kuomba membership, Leo nimeamua rasmi kuingia katika Forum na mimi niwe mmoja wa wachangiaje. Ahsante
I am looking...
Mimi ni mwanachana npya nahitaji kujifunza mengi nisiyoyajua kupitia JAMIIFORUMS. Ili nipate Replies nyingi kwenye Threads yanipasa kufanya nini? Msaada tafadhali.
Assalaam alaykum warahmatullahi wabaraakatuh kaka na dada zangu wa JF.
Nimeamua kujiunga humu ili niweze kujifunza mambo kadha wa kadha kutokana na hoja anuai katika mazingira yetu ya kisiasa...
Hello Guys! Habari gani great thinkers!? Mi mgeni mwenyeji humu toka 2013 leo najitambulisha rasmi kwa forums zote.. Hope mwenye daftari la mahudhurio anatambua uwepo wangu rasmi... Pia naomba...