Habar za kazi ndugu zangu?kwa moyo wangu mkunjufu naomba kupokelewa kwa mikono yote miwili...naahidi kuwa muadilifu na chachu ya kufikia wat we want...ampapo..ni dhamila muhimu..naomba mnipokee...
Hodi hodi mi mwanaharakati Wa Maendeleo kwa wale wanaopensa masuala ya kuwa kwenye vikundi vya kukopeshana maarufu kama vicoba nitafurahi kuwa mwalimu wao na nitawasimamia mpaka wawe sawa gharama...
Habari zenu wadau.
Mimi ni mgeni humu ndani naombeni mnipokee tafadhali.
Ni kwa muda sasa nimekua nikisikia watu wakiisifia jamii forum kwa kusheheni habari moto moto na mijadala mbalimbali ila...
Habariiiiii Rafikii....
Nawashukuru members wote wa Jf mlinikaribisha humu Jf kwa mara ya kwanza nikitokea Fesibuku.
Nawashukuru sana maana nimejiunga kwa mara ya kwanza juzi J pili ila jana Jioni...
Nimefurahi Leo kuwa member rasmi was jamii forums, kama miezi miwili na ushei nilikuwa visitor tu. Kwa kweli nimefurahishwa na namna mnavyoendesha mijadala, nadhani ntapata mengi kutka kwenu, na...
Habari za mda huu wakuu... mimi ni MEMBER MPYA, hivyo nachukuwa fursa hii kupiga hodi humu ndani..
Siku nyingi nilikuwa mtu wa kuperuzi tu thread za watu mbalimbali, So nashukuru leo hii kuwa JF...
Nimekuwa nikifuatilia na kusoma jukwaa hili adhimu. Ninaomba mnipokee. Jukwaa lina mambo mengi makubwa na mazuri japo naona nautoto na mzaha ukijitokeza. Ninapenda sana majukwaa matatu, Uchumi na...