Nimejiunga hivi karibuni wapendwa!!! Lkn daaaah!! Pamoja na kukaa na pc muda mrefu nimeshndwa kuandka new post lkn NIMEWEZA KWA KATECNO KANGU!! Nategmea makaribisho memaaaa!!!!
Baada ya kuwa member nikiwa nje ya Jamvi kwa kipindi kirefu, kwa heshima naomba kuungana na wanajamvi ili kuwakilisha na kuchangia mambo ya msingi yanayo tuzunguka katika jamii.
Asanteni wakuu.
Mimi ni mgeni humu ndani...naombeni mnipokee nmekua nikiadmire contributions za wachangiaji tofauti tofauti na vile vile nimekua dissapointed marta nyingine na baadhi ya comments lakini ni...
habarini wenyeji
hope mmeshnda poa ila kwa wale wenzangu poleni na swaumu..
daah! ila nimechoka kweli nimebeba mafurush yangu yote nimehamia humu ndani nikaribishen jamani hata kwa miguu ya...
Kwa mda mrefu nimekuwa nikielimika, kuburudika, kuhuzunika, kushangaa na kupanuka kimawazo kutokana na mijadala tofauti tofauti ya ndani ya JF. Natowa tamko sasa kuwa nimejiunga rasmi ili kuwa...
habari zenu, bila shaka m
kopoa ila baada ya utambulisho ninaomba mnisaidie ni njia gani nitumie ili niweze kutuma maombi ya kazi kwa njia ya email/mtandao maana sijui hata kidogo naomba msaada...
Wasalaam wakuu!
Jamiiforums kwangu ni kama wikipedia ya bongo nilikua napita juu kwa juu sasa nimeamua kudumbukia kabisa ili niweze kuchangia na kuchangiana mawazo na wanajamii wenzangu wenye...