Kichwa cha habari hapo juu chahusika mimi nilikua na akauti ila ikavurugika nikashindwa kuirudisha sasa nimerudi kwa akaunt mpya naomba ushirikiano wenu
Hodii mpaka ndani. JamiiForums ilikua inanisaidiaga sana nikitaka kujua vitu vya mjini mijini nadhani mnaelewa. Yani hii website ni kama google flani ivi lakini ya Kiswahili🦦
Mimi ni mwanafunzi...