Habari zenu wakuu,wanajamvi wa jf! ndo kwanza nakanyaga jf,naomben tuwe wamoja ktk hoja na mijadala mbalimbali itakayotuletea maendeleo!
ni hayo tu wakuu!
Poleni wanajf kwa msiba wa mwanamapinduzi wa afrika Nelson Mandela aliyekubali kuendelea kukaa jela kuliko kuachiwa huru chini ya utawala wa ubaguzi wa rangi wa makaburu wa Afrika Kusini.
Mie ni NDUGU yenu, Kwa UCKU na MCHANA.
Tena ni SWAHIBA wenu,
Kwa MAREFU na MAPANA.
Natambua UTU wenu,
Pamoja na UUNGWANA.
Wema ni Tabia zenu,
Aliyowapa SUBHANA.
UKARIMU na ROHO...