Habari zenu ndugu zang? Nnafuraha kujiunga nanyi wandug ili tujumuike pamoja ktk kujali mambo yatakayo kuwa na tija kwetu,naomba ushirikiano wenu,.AHSANTEN.
niwashukuru wana jaii kwa jitihada za kuelemishana na kubadilisha na mawazo katika kila mada hasa zinazohusu demokrasia ya nchi yetu. Niwasihi kuwa tutumie uhuru wa kutoa huu wa kutoa maoni...