Hi! My frnd napenda kuwajulisha kuwa sasa napatikana kwenye jf tushauliane tufundishane tupongezane ikibidi tukosoane ntashukuru kwa wote watakao niunga mkono....haya tuanze..,@
Hodi wanajukwaa, nami nimeona niungane nanyi katika jukwaa hili mahiri la kudadavua mambo kwa lengo la kuijenga nchi yetu. Naahidi kutoa ushirikiano kadri ya uwezo wangu.