Asalaam Aleikum wanajamvi wote!
Sasa nimeamua rasmi kuwa mwanajamvi baada ya kuwa mfuatiliaji wa JF na kuridhika kuwa huu ni uwanja wa Demokrasia ulio wazi kwa kila mcchezaji. Nawashukuru waasisi...
nawasalimu kwa tukufu la JF.nimefurahika kupata nafasi ya kujiunga na jamii hii.nimeamua kuacha kugoogle jamiiforums naombeni mnikubalie kuingia moja kwa moja.