Habari zenu wana Jamii forum, kwaheshima na tahadhima, naomba kujitambulisha kwenu kwakifupi tu, Mimi ni member Mpya ambaye hata hivyo nilikuwa naperuzi Jf pasipo kujisajili rasmi,
Natumai...
Habari wadau wa jamii forum , nafrahi kuungana pamoj nanyi.
Nafanya blogging, hope ntakutana na wapenzi wa hii fun kwa ajili ya kushauriana na kupeana support.
Link ya blog yangu ni happyrozo.com
Habarin wanajukwaa! Nadhan mnaendelea vizuri na pilika pilika za kila siku! mimi ni mdau mzuri wa JF ila sijawahi kua memba! ndo nimejisajili, naombeni ridhaa yenu wakuu nmipokee kwa mikono...