Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
naomba kuwa mmojawapo wa wanachama katika hili jamvi lenu!!!!!!!
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Nawasalimuni nyote kwa jina la tanzania. Nimefika hapa leo. Hodi jamani, wenyeji mpo humo ndani. Niko mlangoni nabisha naomba mnifungulie mlango nipate kuingia. Kila heri
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Jamani naomba mnipokee.Nimekuwa nasoma kwa muda mrefu naona sasa umefika wakti nami niwe mwanachama. Asanteni sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wenzangu wa JF. Naitwa Gabriel, natoka Marekani. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu huko Marekani lakini niko TZ siku hizi. Nimejitolea kama mwalimu, lakini kwa sasa najaribu kutengeneza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nawapenda wote!nikaribisheni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wajameni mie ndiyo nimeshaingia humu! Haya naombeni sera na maelekezo muhimu...wapi nisiguse na wapi stahili yangu??
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Hi guys, am new in this forum and I would love to share ideas and facts from you all. Just to start with I have to tell you that " it is not your aptitude but your attitude that determines your...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Kwa heshima na taadhima, Nawasalimu wote. Mimi ni Kibukuswa nafurahi kujiunga nanyi Akhasanteni sana
0 Reactions
2 Replies
681 Views
Jamani wadau mi ni mgeni humu ndo nimiingia sasa ivi naombeni kura zenu za ukaribisho.Kichama mi ni mfuasi wa mageuzi na si Mapiinduzi.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi all, Natumai mtanipokea na kunipeleka kote mnakokufahamu humu JF. Thanks
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikuwa naingia kama guest, lakini naona nitafaidika zaidi kwa kuwa mwanachama kamili!
0 Reactions
1 Replies
835 Views
jambo JF members!!! am glad to join you!!!
0 Reactions
2 Replies
944 Views
khabari za siku waungwana, nilikuwa napita lakini nikaona mahari hapa ni pazuri patanifaa kwa elimu mbali mbali, na kujifunza kwa mengi, naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
naja kikoani .mwagawani?:pound:
0 Reactions
2 Replies
946 Views
jamani ndo kwanza naingia humu hata sijui mnafanyaje humu ndani! napenda marafiki pia nikaribisheni mie mgeni
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Asaalaam alaikum !
0 Reactions
3 Replies
935 Views
i am a new member and i would like to chart.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi!
Nawasalim woote, am so happy kuwa mwanajamii mie mgeni sana naombeni ushirikiano na mkaribisho wa ukweli.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
People leo ni siku yangu ya kuzaliwa so am going to sing for myself. Happy birthday to me Happy birthday to me Happy birthday dear Mama A Happybirthday to me
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari, mi mgeni ndo kwanza naingia
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…