Hodi hodi hapa jamfini nduku sangu wana Jamii Forum. Ni mimi Mtansania mwensenu Msee Lekasio nimeamua kujiunga ili tuwese kubadilishana mawaso katika kuendelesa hili gurudumu la maendeleo ya nji...
hakika amebaki mtu mmja tu wa kukamilisha hesabu za JF, huyo akipatikana, atakuwa mwamchama mwaminifu wa JF na kutoa michango yenye manufa makubwa kabisa kwa wanaJF wote na jamii kwa ujumla...
bwana asifiwe, tumsifu yesu kristo, aslum alykum,
kama kuna amboa sijawagusa mniwie radhi ndugu sangu binadamu mi sijakamilika. nikama naingia hivi naomba tu mmnipokee na mwenyezi mungu atazidi...
Hi everybody,
I would like to introduce myself in this great Forum, hope I will add some constructive comments if not ideas like you guys!!!
Thank you.
Mwasi
oya washikaji wa baraza la jamii mambo vipi? nami nimo ktk baraza naomba mnipe sturi ili tuweze kushirikiana ktk kutoa maoni mbalimbali kwa ajiri ya faida ya nchi yetu naamini sturi nimepata...