Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hello JF. Naitwa Elisia ni new member hapa, nashugulika na maswala ya MC(Master of Ceremonies), mwenye event yoyote iwe harusi, send off, bridal shower, bachelorette parties, semina kindly PM, am...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wana JF Naomba mnikaribishe ,ni mgeni hapa
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Hello members, Good evening! Nimekuja hapa nikiwa na furaha tele. Kwa muda sana nimekuwa mfuatiliaji katika jukwaa hili tangu 2016... Kutokana na michango mbali mbali ya jukwaa hili nimeonelea...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
0 Reactions
4 Replies
922 Views
Hi Mimi Zebedayo Musibha. Ni mgeni kwenye jukwaa hili. Kutoka kisiwa cha GOZIBA katikati ya ziwa Victoria Nafurahi kuwa moja ya familia ya JF
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hodii
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni naomba mnikaribishe
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Hi everyone, am new here
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Hope mko pouwa wote. Mimi ni mpya humu.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu Tuelekazane machimbo ya humu wengine ndio majogoo wageni hivi
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa mijadala ya hapa Jf kwa takribani mwaka mzima bila kuwa member. Ila leo nimeona nami nijumuike pamoja nanyi ili kubadilishana mawazo ya hapa na pale. Asanteni sana.
1 Reactions
2 Replies
745 Views
Habari? wanajamii Ndugu yenu hapa Mgeni mwnyeji... Nawasalimia, Tukaribishane.
1 Reactions
3 Replies
830 Views
Habari zenu, nafurahi kuingia humu, kuwa na nyie.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Natarajia baada ya muda mfupi wa kuzoea JF na mimi kuwa "mjuaji juaji" Nimechagua kujikita katika majukwaa ya SIASA, HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO, LILE JUKWAA LA WAKUBWA, NA JF GARAGE.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Just to say hi, am a new member. Good day.
0 Reactions
4 Replies
711 Views
Mimi ndio kanjunju John wa Yanga naomba mnipoke.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini za majukumu. Mimi ni mgeni humu JF naomba ushirikiano wenu na nliomba kuuliza swali kidogo kuhusu JF. Je, JF ni mahala sahihi pa kujadili mambo ya kijamii bila woga maana nliwahi sikia...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari Ndugu Wapendwa, Hongereni Kwa Hoja Mbalimbali Kwenye Kundi Hakika Wengi Mko Juu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu mi mgeni humu, ninafuraha kujiunga nanyi wapendwa, kwa muda mrefu nilikuwa nasoma tu habari za humu, sasa ninafurahi kuwa pamoja ndani ya ulingo. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
947 Views
Hello!, Paul Sweke kutoka Geita.
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…