Shamba linauzwa lipo mkoa wa kilimanjaro chini ya kiwanda cha TPC-mawala lina acre 25 kila acre n 3 million linafika kiurahisi.Kwa maelezo piga namba 0784968925
Habari ndugu zangu wote wa ndani na nje ya tanzania,
Naomba kuwatambulisha kwenu kampuni yetu inayofanya shughuli zote za production na Entertainment kwa ujumla,
Tuna studio kwa ajili ya audio...
------------------
System Information
------------------
Time of this report: 6/11/2015, 10:16:19
Machine name: hp
Operating System: Windows 8.1 Pro 64-bit (6.3, Build 9600)...
Habari za asubuhi wakuu. Binafsi nmechoma na dstv, nahitaji niongezee king'amuzi cha star times. Naomba mwenye king'amuzi cha startimes complete na dish/antena yake aje inbox au anipigie kwa...
Naombeni msaada kwa anayefahamu ukumbi au bustani nzuri ya kufanyia Harusi dar es salaam, yenye uwezo wa kuingiza watu 450-500 (joint wedding). Isiwe na masharti sana ya kuchukua kila kitu hapo...
Kama unasumbuliwa na MBU na WADUDU wote wanaoruka nyumbani kwako suluhisho limepatikana.
* Ni kifaa kinachotumia umeme kidogo sana, unapokiwasha taa zinazowaka kwenye kifaa hicho huwavutia wadudu...
Kunaitajika chumba kimoja na Sebule maeneo ya Buguruni.
Maelezo muhimu:
1.nyumba iwe kwenye mazingira mazuri.
2.nyumba isiwe na wapangaji wengi.
3. Kuwe na maji ndani na umeme au kama akuna maji...
Tunauza sembe na Dona kwa ujazo wa kilo 25(ambao ndo ujazo wa juu na kilo 50 Ambao ndo ujazo wa chini)
Bei zetu ni poa na bei zinabadilika kutokana na misimu.
Kwa sas sembe kg 25 ni Tsh 25000/=...
Alphard ya mwaka 2003
Cc fuel 2360
Mileage distance 70,000km
Right hand stearing
Automatic Transmission
Color........ pearl white
Bei ni Tsh.15.9 milioni.