Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunauza contena za futi 20. bei nzuri zipo Mbezi beach na moja linapangishwa maeneo ya Makonde. Tupigie: 0713774746
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wana jf!! Kama kichwa cha habari hapo juu.Nimepata bahati ya kutembelea hiki chuo japo kwa bahati mbaya sikuwa na kamera.Hawa jamaa wanatoa Certificates na Diploma.Yaani certificate ya...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Ninauza nyumba yangu binafsi, ipo jijini Mwanza eneo la Luchelele si mbali na ziwani. Inavyumba 3, viwili vikiwa ni self, sitting room, kitchen na public toilet. Imejengwa kwa mpangilio wa ramani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa it tools wazee wa kwenda na wakati na ulimwengu huu wa kidijitali, ninauza tablet yangu nliyoitumia kwa mwez mmoja tu tangu niinunue dukani. Tablet ni aina ya evoq...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Offer yangu ni 4mln swift na 5.5mln kwa Spacio new model. Kama unayo na ipo katika hali nzuri nichek PM.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habar wana jf naitaji simu aina ya tecno m3 iwe ktk hali nzuri ofa yangu elfu 60,000/=cash kama unayo unaweza nichek kwa no. 0787 152 296 au ni PM tufanye biashara faster napatikana dar.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau wote wa jf naombeni msaada natafuta tairi kwa ajili ya gari land cruiser hd 100 saizi ya tairi 275/65/r18 aina ninayopenda ni bridge stone japan au aina nyingine yoyote. Mwenye kujua...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Gari aina ya toyota prado inauzwa kwa bei ya mil.15.5 contact: 0716880022
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habarini wadau! Natafuta kampuni inayofanya training mbalimbali kwa wafanyakazi. Tafadhali nipm mawasiliano yenu. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Haina tatizo lolote njoo na fundi uicheki huku ukonga. Haijawahi kupitishwa mkono wa fundi
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu nimepata kagari kengine naona haka nikauze. Ni toyota fielder ya 2003. Engine capacity ni CC 1490. full time 4WD. kako vizuri sana. nakauza kwa vile bado nimepanga kwa hiyo kua navyo viwili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbwa wanauzwa aina ni Maltese, wana wiki 9. Tayariwameshapata chanjo ya kwanza.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mtu yeyote anayejua kutengeneza Display ya Samsung Galaxy S3 anijulishe, au kuniuzia nikasake fundi mwenyewe.
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Nahitaji kiwanja kama kichwa cha habari usiki. Maeneo ya Chamarambe,chamazi, mwisho Adam complex please. Bei ahhh from 3m please inaongezeka kama kitakizi matakwa.inbox me please hama niachie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tayari imepata mpangaji. Asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Yeyote anayejua tafadhali naomba anijuze. natafuta mabanzi kwa ajili ya kujengea mabanda ya mifugo shambani kwangu. Tafadhali suppliers mniambie yapo wapi na mtaniuzia bei gani kwa kila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huwawei y300 inauzwa bei 125,000 betri 2 bei haipungui ina sclin protector haina scratch hata kidogo ipo Dar es salaam bei haipungui 0712690760
1 Reactions
14 Replies
2K Views
I'm looking for a fan and keyboard replacement for my hp pavilion 15 laptop. This is a Tech & gadget forum, so I hope I will get an immediate response than in other forums. Thanks
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Toyota vits for sale very clean condition, km 130000, haina tatizo lolote. For more inf. 0769038065. Price 5.5 m
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Canon hiyo inauzwa ndio imefika tu,kwa anayehitaji anipm iko safi kabisa hata mkoani tunakuletea tukielewana
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…