Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

manufacture year 2002 engine capacity 1990 odometer 174224 km auto,petrol fuel. bei ni milioni 9 mazungumzo yapo mawasiliano # 0714358610.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nyumba ya vyumba viwili vya kulala,kimoja ni master,sitting,jiko na public toilet.pia chumba kimoja(master bedroom) imefungwa AC.maji yapo muda wote,imezungushiwa uzio inapangishwa iko tabata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei poua kwa mawasiliano tumia hz no 0768359292 na 0652359291 na pics chin apa biashara ni maelewano
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wanachi wote, hasa waliopo dsm! Natafuta gari dogo kwa ajili ya mizunguko yangu ya hapa na pale hapa mjini! Duet, Vitz, March, nk. Muhimu: (1) Sitaki yenye cc zaidi ya 1000. CC lazima iwe...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Habari zenu wadau wote, ninauza Carina TI Million saba niko Mwanza.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Kina ukubwa wa 21 * 40 m 2. Kimepakana na barabara ya mtaa, na kuna nguzo ya umeme hapohapo. 3. Maji yapo jirani Bei Mil. 10 maongezi yapo Cont: 0769877495
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa! Naomba msaada wenu pia kuuliza eti wapi naweza pata duka au mtu anayeuza laptop mpya kw bei nafuu kwa hapo jijini dar es salaam? Laptop iwe na sifa hizi: -Toshiba au Acer...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Umefika wakati wa kuuenzi na kuthamini Africa wetu,jipatie shati lako la kitenge kwa Shilingi elf 20 ya kitanzania kutoka ENSETH KITENGE FASHION kwa mawasiliano whatsapp me 0686 87 17 87
0 Reactions
2 Replies
7K Views
bei yake ni 220k kama upo interested piga simu 0764506509 nipo ubungo mataa
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu husika na kichwa cha habari hapo juu.. Ni old model...haina tatzo lolote Kilomita ni 220000 Imesajiliwa kwa namba B Only for 4 milion Cash 0786242495
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kiwe chumba kimoja self contained au sebule na chumba self contaned kama unayo nitumie ujumbe(sms) kwenye 0715-140001 au nipm.Ahsante
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Anayejua bei ya mlango wa mbao na dirisha 6*5 anifahamishe bei au tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa upande wa morogoro naomba munijuze bei ya mlango wa mbao nataka kumalizia kajumba kangu wajameni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, Natafuta Mshirika mwenye Gari Canter Tani 2, tushirikiane. Mmini nina kisima cha maji safi huko Chanika DSM. Kuna Mahitaji makubwa ya maji kwa shughuli zote huko Masaki karibu na Chanika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mkulima ninaishi vijiji vya mwambao wa ziwa Tanganyika. Mimi na wenzangu tunatafuta soko la kuuza mahindi yetu zaidi ya tani 600 ambayo tumevuna. Ninaomba msaada au ushauri wenu wa jinsi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndg natafuta macreti na chupa zake,haraka iwezekanavyo Aksanteni
0 Reactions
2 Replies
874 Views
Kiwe maeneo ya Ubungo maziwa, Extenal, Riverside, Manzese, Magomeni au Mbezi mwisho Contact 0758293598
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ipo mbezi msuguri pamoja na injini yake yake ya diesel.Inaweza pia kutumia umeme.Mawasiliano:0713-510040
0 Reactions
3 Replies
1K Views
pata simu original zenye warranty ya mwaka mmoja kwa special order.tuna ofisi kariakoo dar es salaam inayojihusisha na uuzaji wa simu.kupanua uwanja wa biashara sasa unaweza kuweka order na...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Jamani naomba kujuzwa zilipo service centre za nokia kwa Dar es salaam
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…