Habari ya kazi wadau,
Naomba mwenye ufahamu wa wakala wa usafirishaji anayeweza kunisafirishia bajaji kutoka Dar kuipeleka Kahama, anisaidie mawasiliano yake.
Natanguliza shukurani.
Wana JF
Nataka nininue hii router kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Jee hapa bongo ninaweza kuzipata wapi? na gharama zake ni sh ngapi?
Thank you in advance
Nilishindwa kuanza kuhangaika kuanza kutafuta kazi kwa maana ajira za kibongo bana ni za "mtoto wa shangazi na wa mjomba".......
Nikaamua nianze ufugaji wa kuku wa kienyeji tangu mwezi wa kumi...
Habar wapendwa.
Nauza mikanda ya kupunguza tumbo ambayo ni ya mtumba ndani ya siku 7 tumbo limeisha. Nauza elfu 30.
Karibun sana.
Napatikana kwa namba 0712620078
nauza dish kubwa la free channel na dikoda yake ambalo.limetumika kwa miezi sita tu.bei maelewano cont: 0753505115 au 0715505115 email.mkumbata32@gmail.com.
Unaweza kupata mchanga wa kujengea popote ulipo kwa bei ya kawaida katika mkoa wa Dar es salaam ndani ya masaa 24.
Tutakuletea kwa gari hadi hapo litapoishia gari.
JINSI YA KUPATA HUDUMA...
Miili yetu inapaswa kusafishwa ndani kwa usalama(cleansing)? Hii husaidia kukinga mwili na maradhi na kupunguza mafuta(uzito). Kutokana na u busy wa maisha inakuwa sio rahisi kupata vyakula...
Wakuu, heshima kwenu!
Kuna heka 2 zenye hati (Title Deed) zinauzwa Kibada.
Zilipo hizo heka 2 ni meters kama 100 kutoka barabara ya lami na zimakaa center ambapo kuna umeme ila maji ni ya...
ninaflash na kutoa lock kweny simu kwa bei rahisi sana. Mfano iPhone software unlock ni elfu 30 tu.....factory unlock ni maelewano. Narekebisha simu aina zote, karibuni sana. Ninapatikana posta...