Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza simu tecno f7 au A3 kwa sh 350k. Samsung note 3 lwa sh 680k...nipigie 0713 190 118....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Niko mwanza nauza IPSUM namba "B" milioni 7 tu Please hii ni Kwa wale wahitaji tu Tuwasiliane Kwa 0788752672 ATTACH]190372[/ATTACH]
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Inahitajika nokia lumia 520 used. Bajeti iliopo ni 100k. Tuwasiliane +255 757 460 737.
0 Reactions
1 Replies
717 Views
Kina ukubwa wa mita za mraba 800. Kina hati miliki. Bei Tzs 25mil. Kwa anayehitaji kununua tuwasiliane kwa simu na. 0784225000
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mafyeko bucha la kisasa tupo moshi Longuo B;maduka ya juu(barabara ya kcmc) tunachinja nyama safi ya ng'ombe kila siku; weka oda yako sasa kwa jumla na rejareja!! Karibu sana. Ukitoa order...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta nyumba ya kupanga au kununua tanga mjini.asante.
1 Reactions
0 Replies
861 Views
Hbr wanajamii ebhn nauza opa bd mpya imetembea km 84000,cc yake 1790 ya mwk 2001 bei ni poua karibia na bure nicheck kwa hz no 0768359292 na 0652359291 biashara ni maelewano u ar wlcom pics chin hapo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi, Mimi ni fundi mwenye ujuzi wa umeme wa mionzi ya jua(Solar Power) kwa zaidi ya miaka 8 sasa. Nina elimu ya ufundi wa umeme wa majumbani ngazi ya cheti niliyoipata VETA...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Wadau kiwanja kinauzwa kwa bei ya chini sana maeneo ya mbezi mwisho njia ya kuelekea goba, kuna matatizo ambayo yanahitaji pesa ha haraka. ni mita 20×20, milion nane tu inatakiwa. Kwa mwenye...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
nyumba hii inapangishwa iko tabata kimanga. ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master ,dinning,sitting,jiko,store na public toilet. imezungushiwa uzio,car parking ya kutosha,maji ya...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
kwa arusha na Moshi inaweza kuwa inauzwaj jaman wadau
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Nyumba hii inapangishwa. Ina vyumba vitatu, kimoja ni master, dinning, sitting, jiko, store na public toilet. Maji ni ya uhakika, umeme ni luku yako, parking ya gari na imezungushiwa uzio kodi ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Eneo la karibu na baharini linauzwa Kigamboni km 17 kutoka ferry. Eneo hilo la ukubwa wa heka 10 liko umbali wa mita 300 kutoka baharini. Maji yanapatikana karibu kwa kudrill na umeme uko...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Toyota SUrf T...ADF automatic fuel diesel cc 2982 odometer 180,000 KM Rav4 2005 for sale 24Million T...DAH cc 1900 automatic CONTACT 0714478797 GARI ZIPO ARUSHA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niko mwanza nauza Toyota SURF milioni 9 Kama unahitaji piga 0788752672
0 Reactions
15 Replies
3K Views
VIFAA VYA SALON COMPLETE SET INAUZWA, NINA HAMA....BEI CHEE dryer-ya kawaida 2 steamer 1 kiti cha kuoshea 1 pallet ya rollers 2 Pasi 1 Dryer ya mkono 1 kochi la seat mbili 1 BEI: MILLION 5 TU...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Kwembe, kinapakana na Mradi wa Compus Mpya ya Muhimbili University. Kiwanja kina ukubwa wa Sqm 2,600. Kime pimwa lakini hakina hati, hati utafuatilia mwenyewe. Kinafaa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Natafuta gari la kununua (Dar) Engine isizidi cc 2,000, Liwe kwenye hali nzuri, Makes ninazopendelea ni Toyota, Suzuki, Budget yangu ni 4m Sipendelei saloon cars. Nipe offer yako na picha ukitaja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau? Mimi nilikuwa napenda kufahamu ungependa upate viungo gani vya chakula ambavyo vimeshaandalliwa na kufungashwa ili kurahisisha mapishi yako.... yani nipe mawazo yako ni viungo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nauza program za computer za kila aina kama vile window8,7,xp,office 2007,2010,2003,nero,video edit,photo edit,program ya kubadili pdf document na word document,fl studio,za kuchorea raman za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…