Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Hallow wana JF, Nauza Used Desktop Computer zangu kutoka Germany, wenye nia ya kununua anipm, ninazo 8 @ 250,000. Nipo Dar. Natanguliza Shukrani zangu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta mtu anayeweza ku-tafsiri(translate), document ya kiingereza kuwa kiswahili. Ina kurasa kama mia moja, ningependa kujua pia kwamba inakuwa ni gharama kiasi gani.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
ukiwa interested whatsapp0653783552
0 Reactions
2 Replies
823 Views
  • Closed
Nahitaji kununua simu ya touch yenye uwezo wa kutumia whatsapp na budget yangu ni 60,000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nauza simu tajwa hapo juu sifa zake ni; 3g network 256mb ram,512rom 3.5 mp camera os: v 2.3 gingerbread pia ina-support whatsapp,tango,viber,instagram etc. bei tsh.75000/- ila inapungua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf kwa mahitaji ya viatu bomba vya mitumba kwa wakina dada plz tuwasiliane kupitia namba 0659-991891 kwa bei nafuu sawa sawa na bure kiatu unavaa peke yako town.nifollow insta viatu...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
price 1,400,000Tsh.. zipo kigamboni Dar es salaam......
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu habari gani? Nahitaji vyuma vya mazoezi vya size ndogo kwa ajili ya kukimbia navyo(Dumbells), alie navyo naomba aje PM. Viwe na uzito sawa na si zaidi ya kilo 5 kwa kila kimoja. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
New HTC One XL & X for Sale XL Gray & X White in Colour 32GB Memory,1GB RAM Accessories included Price:XL 349,000/= & X 335,000/=Tshs 0659223322 Dar es Salaam
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Habari zenu wakuu? Kuna kiwanja chenye ukubwa wa mita 100 na Upana wa mita 42,ambacho kina nyumba yenye vyumba vinne vya kulala,sebule,dining na jiko,ina mita yake ya LUKU na maji inauzwa MILIONI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simu bado ipo katika upya imetumika wiki 3 for more information 0717 022737
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau kuna Suzuki swift Ni mpya kutoka Japan kwa mtu mwenye interest ani cheki kupitia 0718146734 Gari ipo Arusha
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wana JF, Kwa mara nyingine tena PowerBanks zenye sifa zifuatazo zimewasili. 13000mAh ziina Output USB port 2 (uwezo wa kuchaji simu mbili kwa wakati mmoja), bei Tsh 65,000 6000mAh...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Umechoshwa na smart phone yako kuishiwa charge wakatitanesco wamechukua umeme wao? 2.Unataka kusafiri kwenda kijijini kwenu ama mikoa mingine ambapo tanescowameamua tu kusiwe na umeme na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wakazi wa kimara mwisho naulizia maduka yanayouza vocha za jumla.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna mradi nataka kufanya Mafinga mjini. Nina omba yafuatayo, 1. Kupata mtu mwenye eneo/uwanja niweze kukodi kwa miaka miwili tu 2. Kama kuna mtu anapangisha jengo kubwa linalofaa kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza samsung s4 min used 3 month unapata charge yake orgnal na earphone yake 380000 kama upo serously check me via 0716 338838 whatsup kwa picha na specfications
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Bicmarkshop wanakuletea Htc One M8 kwa Shilingi 1,050,000/= simu hii ni mpya kabisa ikiwa na warrant ya miaka 2,haiwezi kuingia maji kabisa wala kupasuka. karibu katika duka letu lililopo moshi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nipo dar, naomba anipm kwa aliyenalo
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu kama mlivyosoma hapo juu. natafuta solar kwa matumizi ya nyumbani ni kama chumba kimoja inayowasha taa basi tv na jagi la kuchemsha maji
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…