Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach
Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada
Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe...
Hii Kampuni ambayo inaonyesha kusajiliwa Tanzania, ina dalili zote za kitapeli kama makampuni mengi yahayojitangaza kufanya biashara ya Sarafu za kidigitali (BITCOIN).
www.titmining.com
Wameweka...
Katika siku za hivi karibuni, Kijiji cha Itumbi, kilichopo katika Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, kimekumbwa na matukio ya kuhuzunisha na ya kutisha.
Majambazi wenye silaha wamevamia kijiji...
Stendi ya Magufuli hakuna maji siku ya tatu leo, watu wanalazimika kwenda stendi ya daladala ya Mbezi Luis na kule kwenye maduka stendi ya Malamba kujisaidia kwenye vyoo vya vya watu binafsi...
Nchini kwa sasa asilimia zaidi ya 55% ni vijana , ambao wengi hawana ajira na kama ujuavyo nchi yetu ni miongoni mwa nchi ambayo ina asilimia kubwa ya watu wa kipato cha chini..
Sasa sisi vijana...
Kwa Latra na Wadau Wote Wanaohusika,
Ninatoa wito wa haraka kwa Latra kuchukua hatua muhimu kuhusu hali ya mabasi ya Kampuni ya Kimotco, hususan kwenye safari za kutoka Moshi hadi Mbeya. Ni...
Wazazi wamestuka, Vijana wametuka, zama zimebadilika,
Kwa upepo ulivyo Advance inaenda kupoteza thamani yake, yaweza kugeuka kuwa kapu la taka kwa wanafunzi wanaokosa vyuo.
watu wamepima mzani...
Eneo la Mtamaa lililopo Kilomita 20 kutoka Manispaa ya Singida kuna zahanati ambayo inahudumia wakazi wa eneo hilo ambayo inatambulika kwa jina la Zahanati ya Mtamaa.
Nimefanikiwa kufika mara...
Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza kuwa Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari wamekuwa wakiteseka kwa kuwa na Barabara mbovu, Barabara hiyo imeanza kufanyiwa...
Chuo cha CBE kimezuia wanafunzi kufanya mtihani wa mwisho kwa sababu hawana bima.
Hii haipo sawa kwani hawajaweka utaratibu sahihi wa kupata hizo BIMA naomba waruhusu wanafunzi tufanye mitihani...
Mimi ni mmojawapo😂
Na nadhani nilipigwa kama mara tatu hivi kabla sijajifunza na kuelimika
Miaka ile ya 2010 nikaagiza kupitia Ebay radio touch screen.. Wakati huo bongo ilikuwa ni kuanzia lako...
Mji wa Kisemvule - Mkuranga Mkoani Pwani umekuwa na ongezeko la watumia barabara kadiri siku zinavyoenda mbele.
Hali hiyo imesababisha kuwa na ongezeka la kufutika kwa alama za pundamilia...
Tunaomba TAKUKURU ichunguze mapato ya Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu yoyote tangu ianzishwe na Mapato ya Hospitali yanakusanywa Jengo la Nje la Wagonjwa (OPD) na Wauguzi...
Kuna jambo ambalo nimekutana nalo nikiwa likizo huku Mkoa wa Songwe, Wilaya ya Mbozi, kuna baadhi ya Shule za Msingi, Walimu wanamiliki mashamba na kuwafanyisha kazi Wanafunzi.
Nimezungumza na...
Na Samwel Marwa (Mwandishi wa Habari na Mtaalam wa Mawasiliano ya Umma).
"Naishauri serikali kuchukua hatua za pamoja na za haraka zaidi ili kukomesha vikundi hivi vya maharamia 'Mamayao' ili...
Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja...
Kwa uzalendo wa hali ya juu na kuthamini vya kwetu, ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya watu wakichafua mazingira kwa kutupa taka hovyo, hasa kandokando ya mito inayoingiza maji katika Ziwa...
Naomba JamiiForums itazame yafuatayo.
Je, ni sahihi kwa mkandarasi kutaka kupunguza kilomita za barabara kwa kuchepusha barabara karibu na vyanzo maji eneo la Kitulila huku akijua kufanya hivyo...
Kampuni ya Ulinzi (HOMASA SECURITY) inapata bahati ya kuingia mkataba na Bilionea ANDRON MENDES
Mkataba huu unahusisha kumlinda Bilionea huyu nyumbani kwake na Pia kulinda kwenye ofisi ilipo...
Katika miaka ya hivi karibuni, Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni muhimu sana maana taarifa za mtu zinaweza kutumika vibaya muda wowote bila ya muhusika kujua.
Leo nimewaza sana zile Hotel, Lodge, au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.