Hapa Kibaya wilayani Kiteto kuna trafiki anakamata sana pikipiki na hataki kutoa Control No, akidai kashalipia wewe mpe hela taslimu(Cash money) tu.
Haya si mazingira ya rushwa kabisa na akijidai...
Habari JamiiForums.
Naomba msaada, mimi ni mgeni katika kijiji fulani, wilayani Magu Mkoa wa Mwanza. Katika kijiji hiki kuna utaratibu kwa wageni wanaoingia kuishi kama wapangaji kulipa fedha za...
Mimi sio mwandishi mzuri ila kwa kweli inasikitisha sana nimepita mara kadhaa daraja hili lililopo mkoani Lindi barabara kuu ya Dar-Lindi, linamaliza ndugu zetu wa malori.
Ukitokea Lindi ni km...
Habari JamiiForums, nimekuwa mdau wa muda mrefu lakini pia nimekuwa napata malalamiko mengi sana kutoka kwa rafiki yangu mmoja hivi naomba langu lisitajwe.
Watumishi wa shule ya St Marys...
Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) wanao jiita viongozi wanawagana Tsh Milion 400 za walimu ambazo wametoa ada kwa chama iko.
Chama icho kimeweka ada ya Tsh...
Mimi ni mwalimu niko Tabora, kwa sasa nafundisha Shule ya IPULI HOLY FAMILY PRE AND PRIMARY MISSION SCHOOL, baada ya ajira za Ualimu kutangazwa za Serikalini niliomba, nikapata nafasi ya kwenda...
Habari wana jamvi, poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa letu.
Naomba niende kwenye mada hapo juu, ni hivi:
Shule ya Tunduru Jamhuri Academy ni shule ya serikali inayosajiliwa...
Hili ni Soko la Sabasaba Jijini Dodoma mvua zinaponyesha mara nyingi kumekuwa na hali ya matope kwa baadhi ya maeneo na hivyo kuwa kero lakini pia usalama wa vyakula unakuwa hatarini.
Nimepita...
Idara mbalimbali zinapopeleka madokezo kwa ajili ya kusainiwa na kulipa, yanachukua muda mrefu bila kusainiwa na kulipa pia, mwisho wa siku unaambiwa madokezo yamepotea.
Tunaomba TAKUKURU Katavi...
RTO wa Mbeya, Njombe na Iringa tusaidieni kukamata bus la New Force lenye number T EBK 232.
Dereva na kondakta wake wamepiga na kujeruhi mtu hapa Uyole.
Mamlaka husika tusaidieni kwenye hilo.
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuna bendi moja iliitwa Mviko Sound ,ilikuwa ikimilikiwa na mmoja wa wanafamilia yetu
Kufikia mwaka 2004 bendi ikafa,huyu ndugu yangu akasema ni bora kuwa na wanawaje...
Kero yangu kubwa ni kwa mamlaka inayosimamia huduma za Afya katika Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, kumekuwa na tatizo la wauzaji wa Nyama kuuza nyama zenye mashaka ya ubora na baadhi wanauza...
Hapo vip!!
Uongozi wa kipindi hiki tunaomba iongeze makali kwasababu Wananchi wanateseka na wengi wamekuwa waonyonge wanavyoanza kufuatilia haki zao au huduma katika Ofisi za Serikali...
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni ya uchimbaji visima, SUPREME WATER WELL DRILLING LIMITED iliyo na makao makuu yake jijini Mwanza, ni muda mrefu umepita tangu nianze kazi katika kampuni hii...
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo cha Kiislamu Morogoro, changamoto kubwa ambayo naiona kwenye chuo chetu ni suala la mazingira machafu.
Chuo hakina vifaa vya kuwekea taka hali inayofanya...
Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi.
Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu...
Ndugu zangu tunapata taarifa nyingi toka kila pande ya nchi yetu pendwa ya Tanzania,Leo nimepata taarifa kuwa huko Sumbawanga MANISPAA madereva bajaji wamekaa kikao na kupandisha gharama za...
Ujumbe huu ufike Serikalini hasa kwa Wizara ya Afya, sasa hivi baadhi ya vituo vya maabara vinafanya kitu kimoja, ukienda kupima hata kama huna Typhod majibu yao ni una-typhod, unajikuta unatumia...
Nimehudumiwa mara mbili katika Kituo cha Afya Halmashauri ya Mji Tunduma maarufu kwa jina "Serikalini" Kata ya Majengo ambapo walilazimisha nitoe gharama za kumuona daktari licha ya kuwa mgonjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.