Habari ya mchana
Nimeamua niwaandikie wenzangu kwa kifupi kuhusu madhara rafiki zangu waliyoyapata baada ya kununua mboga za majani pale stendi ya daladala Mbezi Luis.
Siku chache zilizopita...
Kuna hii ishu inayowahusu ripota wa Azam TV mikoani, wapo walioanza na kampuni wapo waliojiunga na Azam baadaye. Kwa mujibu wa mikataba yao ambayo ni renewable Kila baada ya Mwaka Mmoja au miaka...
Sasa hivi tunaona kuna ujenzi Bagamoyo Road, kipande cha Mwenge-Tegeta.
Kama mwananchi nilikaa kipande hii muda mrefu napenda kuwatonya TANROADS kuwa MAKOSA YALE YALE ya kitaalam yanafanyika...
Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni...
Kuna shirika lina jiita Allience In motion global. Linakusanya vijana toka mikoa mbalimbali Tanzania, likiwaahaidi kuwapa ajira. Badala yake vijana huishia kutapeliwa kwa kujidai wana fundisha...
Mwaka jana miezi kama hii walitutembelea maofisa wa bank ya CRDB tawi la Livingston na kutushauri kutuongezea mtaji kwa kutupa mikopo, sisi wafanyabiashara wa hali ya chini tulichangamkia fursa...
Naandika nikiwa na huzuni sana hapa najiuliza ni uzembe wa Serikali au Uongozi wa Hospitali ya Mloganzila ulio chini ya Profesa Janabi au Dr Magandi...
Mwaka jana 2024 nilikuja na mgonjwa wangu...
Wilaya ya Bunda maafisa utumishi na TSC wanawasumbua walimu waliojiendeleza na kuwa na sifa ya kubadili miundo yao katika ajira kama kutoka daraja la IIIA au IIIB kwenda IIIC.
Mtumishi...
Mimi ni Askari wa ulinzi kutoka Kampuni ya Asgard Security Company Limited yenye ofisi zake makao makuu Kinyerezi DSM, malalamiko yangu ni kuwa hatujalipwa mishahara yetu wa miezi miwili na...
Hii ni thread niliiandika mwaka 2015, na ni mojawapo ya thread ilisomwa sana humu JF, na hata kuandikwa gazeti la Mwananchi. Kutokana na umuhimu wake, nimeona niihuishe tena nikijua kuna wengine...
Kuna uhaba wa malimao na ndimu katika nchi, hapa nilipo wanauza limao moja dogo 500, la kati 700 na kubwa buku! Hii haikubaliki, nimekunywa supu ya Samaki bila malimao na sasa nakula pilau yenye...
Habari za wakati ndugu wana Jukwaa,
Kwa muda sasa nimekuwa nafuatilia hii changamoto kwa wajawazito ambayo wanakumbana nayo wakati wa kujifungua katika vituo vya Afya na Hospitali ya Halmashauri...
Kama mada inavyonieleza
Kuna hiki kitendo cha dailysis pale Bugando hospital mambo ni ovyo sana
Kwanza wahudumu hasa wa kike kwenye kile kitengo hawana kauli nzuri kwa wagonjwa wanaokuja kusafisha...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano. Kuna malalamiko yameripotiwa kwa siku za karibuni kuhusu hospitali ya LUPA iliyopo ndani ya halmashauri ya mji wa Bunda.
Malalamiko ni mengi ila...
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) nawapongeza mmeanzisha mfumo mzuri wa wananchi kufuatilia taratibu za kupata cheti cha kizazi na vifo katika mtandao badala ya kuja kupanga foleni...
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana...
Rasmi dirisha la usajili wa vikundi pamoja na maombi ya mkopo ya halmashauri ile ya 10% (vijana, wanawake na walemavu) vilifunguliwa mwezi wa 10, 2024.
Awali iliionekana kuwa tutahudumiwa vizuri...
Pale nyuma ya ofisi za Halmashauri ya Ubungo kuna Eneo la wazi la Sqm 10,400 zimepigwa na Afisa Ardhi wa Manispaa anaitwa Fadhili akishirikiana na Kamishna wa Ardhi mkoa wa Dar Ndugu Kyando.
Pia...
Mimi kama mdau wa maendeleo kwa ujumla, naleta kwenu kero ya muda mrefu. Yapata miaka 20 sasa.
Tangu shule ya msingi Nyamuti iliyoko walaya ya Buhigwe kata ya Buhigwe kijiji cha Mlela mtaa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.