TANESCO Wilaya Bariadi Simiyu wanatukosea sana, umeme unakatika katika mara kwa mara. Kwa saa unakatika si chini ya mara 5. Tunahofia vifaa vyetu vya umeme na nyumba zetu watatuunguzia. Waseme...
Habari wadau kuna tabia imezuka hapa jijini Dodoma inapofika usiku polisi wanapaki gari kwenye barabara za mtaani wanaanza kukamata bodaboda na kuwachukulia ……. Inafikia hatua tunakosa huduma za...
Hello habari!
Changamoto yangu naielekeza hasa kwa mabasi ya mikoani yatokayo Mkoa wa Kagera - Karagwe kwenda DSM au mikoa mingine wamezidi kujipangia nauli kipindi hiki mpaka kutoza nauli ya Sh...
Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami.
Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara...
Naomba kutoa kero yangu juu ya adha kubwa ya maji eneo la Nyegezi na viunga vyake!
Kimekuwa na kero kubwa sana ya maji Nyegezi kiasi kwamba tunajiuliza watendaji wa Idara ya Maji eneo la Nyegezi...
Huku kwetu katika mitaa ya Manispaa ya Songea kuna wimbi la wizi wa Mita za Maji na kila aliyeibiwa anatakiwa kulipia Sh elfu 45 ili aweze kufungiwa mita nyingine.
Tunajiuliza huu ni mchezo ambao...
Eneo Mbutu limekuwa sehemu kuu ya kuchimbwa vifusi kwa ajili ya ujenzi mbalimbali.
Hatari kuu kwa watumiaji wa barabara ni haya malori kujaza vifusi kupita kiasi kinachotakiwa na hakuna hatua...
Jamani,
Hivi suala la kujengea Wanafunzi vyoo ni la wakina nani? Maana kuna shule moja Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera inaitwa "Mugana A" kwakweli hali sio nzuri.
Vijana hawana vyoo salama...
Mimi ni mdau niliyesoma Chuo Kikuu cha ZANZIBAR Tunguu Mkoa wa Kusini Zanzibar, nalalamikia kwamba katika kipindi hichi Wanafunzi tuliomaliza Mwaka 2024 - 2025 katika kozi tofauti chuoni hapo...
Yaani kwa mwezi tunaweza kupata maji mara moja, na maji yenyewe yatatoka masaa mawili au chini ya hapo, na pressure inakuwa ndogo sana. Ukiwauliza watu wa DAWASA hawana majibu ya kueleweka...
Hii changamoto tulisha itolea taarifa kwa Viongozi wetu wa Serikali za Mtaa lakini hakuna mabadiliko yoyote, barabara hiyo iliyoharibiwa na mvua kubwa ya mwaka Jana (2024) na vipindi vingine tena...
Wakuu Kwema? Bila shaka muko salama.
Mwezi uliopita Nilikuwa Hospitali ya Taifa ya Mloganzila, Baada ya mke wangu Kuhamishiwa hapo baaada ya Kupewa Rufaa kutoka Kituo cha Afya ambapo alienda...
Nazidi kuomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti hii ni zaidi ya mara ya tatu naandika hapa.
Kutoka Nyahigi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza tunateseka maji yanatoka kwa week mara moja ambayo ni...
Mheshimiwa mkuu wa mkoa, sisi wakazi wa Kiseriani hasa maeneo ya Kilimani tuliungiwa maji mwezi wa tatu mwaka huu.
Ajabu maji yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku. Hatuelewi kisa cha kuungiwa...
Licha ya Waziri Aweso kusema maji yawepo weekends, huku Morogoro hawafanyi hivyo. Mtaa wa Mfuruni kwa mama Milinga tunapewa maji siku Moja kwa wiki ambayo ni ijumaa tu tena masaa mawili au chini...
Wiki mbili zilizopita kulitokea changamoto ya bomba la maji kupasuka maeneo ya Maili Moja – Kibaha, hali hiyo ikasababisha maeneo mengi kukosa maji, tuliporipoti DAWASA – Kibaha kila siku wakawa...
Yaani huwezi kuamini Wananchi baadhi huku wamekuwa wanateseka saaana na kero ya umeme! Umeme unakata saa moja usiku na kurudi saa 5 usiku! Mchana unakatika na kurudi..
"This is too much"
Hii ni...
Miezi minne iliyopita Mkandarasi mzawa alipewa kazi na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutengeneza barabara ya takribani kilomita tatu kutoka Kimara baruti hadi Kilungule uwanjani...
Ndugu Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani hapa Tabora, Mh Magayane sisi wakazi wa hapa tunakuomba udhibiti suala la msongamano wa magari eneo la Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani...
Habari,
Kuna kampuni inaitwa Pent Optimism iko Dar es Salaam inafanya partnership na Vodacom, inaajiri vijana kwa mkataba ila wanashikilia vyeti vyao vya kitaaluma. Je, iko Sawa?
Ni sheria gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.