KERO Threads

Anonymous
KERO
Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN. Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Huku kwetu Mtaa wa Chenga pamoja na maeneo ya jirani ya Kata Nyegezi tumekuwa tukilalamikia changamoto ya barabara ambayo imekuwepo kwa muda mrefu ambayo inasababisha usumbufu mkubwa kwetu ambao...
1 Reactions
6 Replies
366 Views
Kwa wanaotumia barabara hiyo kuanzia Feri mpaka Pemba Mnazi watakuwa mashahidi. Kwa sasa matuta yapo mapya pale shule ya Malaika na Haana Benie na hapa Makaburini Dege centre je mpaka iue? Pale...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Kumekuwa na tabia ya Daladala nyingi zinazofanya safari za Kilombero - Kiseriani kuwa na tabia ya kukatisha ruti kuanzia majira ya Saa 1 Usiku na kusababisha abiria kupata adha ya usafiri wakati...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
TanRoads Rukwa hebu kueni na consistency kwenye specifications zenu. Inakuaje Taa Mpya mlizofunga Sumbawanga Mjini na Kijiji Cha Chala na Kaengesa huko hazitoki Mwanga wa kutosha muda wa usiku...
3 Reactions
21 Replies
437 Views
Maelezo ya Malalamiko: Naandika malalamiko haya kwa niaba ya ndugu yangu ambaye ni mwanachama wa NSSF na alifuata taratibu zote zinazohitajika ili kudai faida za uzazi (maternity benefits)...
1 Reactions
2 Replies
266 Views
Ni muda mrefu sasa, yapata mwezi mfumo wa TMS Check wa polisi kitengo cha usalama barabarani haupo hewani. Hii inapelekea usumbufu kwa dereva kwa kutoweza kuangalia mwenyewe kama ameandikiwa fine...
3 Reactions
8 Replies
351 Views
Likizo yangu ya mwaka jijini Dodoma ilikuwa nzuri, tumshukuru magufuli kwa kuhamishia Serikali Dodoma, pamepambazuka sana, pamechangamka, kuanzia saa moja usiku hadi saa sita usiku panakuwa...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Mtaa wa Majengo eneo la Kinzudi - Salasala Jijini Dar es Salaam kuna dampo kubwa ambalo linahatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani. Eneo hilo linalotupwa taka ni bonde, hivyo...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Habari Ndugu! Nina refund kutoka Apple store ya 4.3 million nilifanya malipo na Tigo pesa mastercard 18 Dec 2024 mpaka leo Jan 2025 sijapata. Proof of payment ninayo kutoka Apple, mpaka leo...
5 Reactions
8 Replies
374 Views
Mimi kama mama. Naomba waziri waa mbie waache visa vyao, wanapogombana wao kwa wao anayeumia ni mama. Wasichana wadogo wanabakwa, wakinamama tunadhalilika. Jamani tuoneeni huruma mpate uongofu wa...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Anonymous
KERO
Tumekua tukikosa maji bila taarifa hata wiki 3 mfululizo na DAWASA wakipewa taarifa wanajibu watashughulikia na hawafanyi chochote. Aidha maji yanaweza kutoka wiki moja tu ili waweze kutuletea...
1 Reactions
1 Replies
127 Views
Anonymous
KERO
DAWASA tunaomba majibu ni kwanini hatupati maji kwa kipindi chote hicho na bila taarifa, na pia wakipigiwa simu wanadai wanashughulikia lakini hakuna chochote kinachoendelea. Imekuwa ni...
1 Reactions
1 Replies
130 Views
Hali ya maji katika eneo linalohudumiwa na kituo cha Kimara ni mbaya Sana. Maji hayatoki katika baadhi ya maeneo karibu mwezi sasa. Hakuna taarifa yeyote inayotolewa. Viongozi wetu wa juu nao...
0 Reactions
8 Replies
403 Views
Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara. Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena. Mfano mara ya mwisho...
1 Reactions
33 Replies
983 Views
Ndugu zangu wana JF salaam, kuna jambo ambalo limekuwa kikwazo kwetu sisi wakazi wa Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora na Mkoa wa Tabora ambapo kama lisipofanyiwa kazi basi tutaendelea kuishi kwa...
0 Reactions
3 Replies
332 Views
DAWASA, sielewi utendaji wao. Sisi wakazi wa Ukonga karibu na Aviation House, ni mwezi sasa maji hayatoki. Kuna tatizo la kutoboka kwa bomba kubwa Mlima Ukonga, lakini licha ya DAWASA Kinyerezi...
0 Reactions
5 Replies
207 Views
Anonymous
KERO
Kumekuwa na wizi wa mita za maji maeneo ya Mbweni Teta kwa kasi sana na hakuna jitihada yoyote ya uchunguzi inayofanyika na DAWASA. Pia soma ~ Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya...
0 Reactions
6 Replies
609 Views
Anonymous
KERO
Kero yangu: Shule ya Sekondari Irugwa inawataka wanafunzi wanaoripoti kidato cha kwanza kwenda na Rimu 1, pia mwanafunzi anapofika kidato cha 3 anapeleka tena Rimu. Bado kuna michango kama vile...
0 Reactions
6 Replies
247 Views
Anonymous (e941)
KERO
Wananchi wa maeneo ya Mwakaleli halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya kwa miaka mingi tumeahidiwa kujengewa barabara kwa kiwango cha lami lakini haitekelezwi. Ujenzi wa Barabara...
0 Reactions
4 Replies
158 Views
Back
Top Bottom