Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla.
Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana...
Tangu kuanza wiki hii TANESCO wamekuwa wakikata umeme bila taarifa kabisa kwa wananchi wa maeneo husika Boko magengeni, Bulemawe, Chama,Calfonia, Ndogondogo center na Mtambani.
Mfano jumatatu...
Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda.
Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama...
Shule ya BEROYA MISSION SECONDARY SCHOOL iliyopo mkoa wa Pwani, Bagamoyo kijiji cha matimbwa ilianza kuchapa wanafunzi mwishoni mwa mwaka 2023 kwa kutumia mabomba ya maji.
Watoto wanakuwa na hofu...
Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), ulipaji wa ada wameweka kwa awamu nne kwa mwaka, Semester ya kwanza awamu mbili na ya pili awamu mbili.
Ajabu wameweka deadline ya kulipa ada na mtu akichelewa...
Jiji la Dar es salaam linapitia mgawo mkali wa maji unaoendeshwa kimyakimya huku ukitesa watu wengi.
Mathalani, katika uchunguzi wangu kupitia ndugu zangu wanaoishi maeneo mbalimbali ya jiji hili...
Habari zenu TANESCO mkikata umeme asubuhi tunaomba rudisheni umeme saa kumi na mbili wengine tunaishi mazingira mabaya sana ukikaa vibaya umelala na nyoka kitandani na mna jifunika pamoja kwenye...
Ni jambo la kushangaza, hii nguzo iko hivi, siku ya nne inaisha, inaenda siku ya tano, nguzo hii imelala hivi! Je, wahusika wa kutatua dharura za miundombinu ya umeme mjini Bagamoyo hawajaona? Au...
Mheshimiwa Waziri Juma Aweso, Wakazi wa Kinyerezi, hasa Wakazi ambao tupo karibu na mitambo ya kuzalishia umeme ya Kinyerezi; tunasikitika kukiarifu kuwa hatuna huduma ya maji safi kabisa, leo...
Mkuu
Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa.
Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji...
Mh waziri una watendaji viburi sijawahi kuona. Au wamegoma? Kuna shida gani ndani ya wizara yako?
Tumekaa miezi na miezi maji hayatoki na leo hakuna maji pamoja na ujio wako. Hawa watendaji...
Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji.
Naomba Wizara ya...
Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji...
Nikiwa mmoja wa Watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika nashauri Mkurugenzi wa Halmashauri awalipe vijana wanaojitolea pesa zao ili kuhudumia taasisi, wanakaa hadi miezi miwili bila posho...
Hawa mabwana mvua ikinyesha kidogo tu afisa mkata umeme anakata mji mzima na hawafanyagi kazi usiku hivyo mvua ikinyesha wakikata sa 1 jioni hiyo ni mpaka kesho yake.
Napendekeza meneja wa mkoa...
Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi.
Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya...
Hapa ni MWANZA, Wilaya ya Misungwi eneo la Kata ya Usagara, Kijiji Nyang'omango, Kitongoji cha Nyaruhama katika eneo hili kuna tatizo kubwa la maji safi na salama Wananchi wanatumia maji...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Kagera Wilayani Muleba ni muhitimu wa Diploma in Animal Health and Production katika Chuo cha Igabiro Training Institute of Agriculture kilichopo Muleba.
Tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.