KERO Threads

Habari wanaJF ukweli huu mji umekithiri kwa uchafu si ajabu kukuta taka zimetupwa sehemu yoyote mtu anapojiskia na hakuna anayekemea. Kamati ya Mazingira itakuwa wako likizo mpaka warudi mambo...
1 Reactions
11 Replies
269 Views
Hii nchi unaweza kudhani watu wamesoma basi wana akili timamu, lakini la hasha! Kitendo cha hawa watu wa sheria kupiga muziki mkubwa kiasi cha kuondoa utulivu kwa jinsi muziki ulivyo mzito...
2 Reactions
8 Replies
164 Views
Wanaotumia yas ( zamani tigo ) wanajua kinachoendelea. Tunakubali kuwa huwa kuna Changamoto za kiufundi ila tatizo linapozidi siku mbili unakuwa ni aidha upuuzi, uzembe au kwa lugha kali Ujinga!
2 Reactions
16 Replies
396 Views
Anonymous
KERO
Shida kama haikupati hutaona ukubwa wake. Loan board hawatoi fedha za kujikimu kwa wakati. Wazazi wakishaona tumepata mkopo unakuwa umewatua mzigo na wanajitoa kwenye kukupatia fedha za...
2 Reactions
5 Replies
309 Views
Wanajamvi ikiwa leo ni jumapili tukufu huku tukisherekea sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar binafsi nina jambo linalonishangaza. Ambalo ni michango inayoitwa ya Bima ya afya inayochukuliwa na vyuo...
0 Reactions
1 Replies
159 Views
Licha ya awali usafiri wa Mwendokasi kuvutia watu wengi lakini kwa siku za hivi karibuni abiria wengi wamekuwa wakilalamikia changamoto mbalimbali ambazo zinajitokeza kwa nyakati tofauti. Kwa...
2 Reactions
4 Replies
548 Views
Anonymous
KERO
Barabara ya kutokea Mvuha kupitia Kibungo Chini Mission kuja mpaka kutokea eneo la Mikese imekuwa kero kwa kila raia anayeitumia, na ajabu ni kuwa barabara hii imekuwa hivi kwa muda mrefu na...
0 Reactions
1 Replies
262 Views
Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari tunaomba tusaidiwe barabara. Hali ni mbaya sana hasa msimu huu wa mvua. Watoto wanaenda shule kwa tabu maji na matope ya kutosha. Wanakwenda...
1 Reactions
3 Replies
329 Views
Anonymous
KERO
Barabara ya Mbezi Msumi kutoka Mbezi mpaka njiapanda ya mbopo na Msumi imeharibika sana, daraja toka lilipo bomoka mwaka 2023 January tukaambiwa litatengenezwa ujenzi wa barabara utakapoanza mwezi...
1 Reactions
0 Replies
129 Views
Anonymous
KERO
Tunaomba msaada , hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora haaina huduma ya VIFUNGASHIO kwa ajili ya kubebea dawa, mgonjwa akipewa dawa analazimika kubeba mikononi au kwenye mabox kitu ambacho...
0 Reactions
1 Replies
291 Views
Anonymous
KERO
Shule ya ,singi Vikunai iliyopo Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam kuna changamoto kubwa Wanafunzi hawana madawati baadhi wanakaa chini. Shule pia inabebesha wazazi mzigo wa kutoza Tsh 500...
5 Reactions
25 Replies
550 Views
Habari Wana jukwaa la JamiiForums, leo nimekuja na jambo hili linalowahusu hawa Wafanyabiashara wa Samaki katika masoko ya Soweto na Uyole jijini Mbeya. Baadhi ya hao watu hawajali kabisa afya za...
3 Reactions
50 Replies
1K Views
Habari za muda huu Sisi kama wanafunzi wa digrii tuliomaliza chuo mwaka Jana 2024 katika chuo kikuu TEOFILO KISANJI tunamalalamiko juu ya kile uongozi wa chuo unavotufanyia watahiniwa wake...
1 Reactions
7 Replies
244 Views
Hii sasa imekuwa too much wananzengo Yani katika wiki Moja kupata umeme wa uhakika labda ni siku tatu! "what a shame to authority" Jamani mnaohusika oneni aibu hii sio sawa kabisa mnazingua sana
0 Reactions
3 Replies
98 Views
TANESCO Chanika, Ilala tunaomba ufafanuzi wa kwanini umeme unakatika sana Chanika mwisho pale eneo lote la Stand ya Mbagala Nina shangazi yangu anaishi Chanika mwisho anadai umeme unakatika sana...
1 Reactions
17 Replies
287 Views
Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu, nimesikia na kuona ugonjwa wa kipindupindu kushamiri wakati au majira haya ya kiangazi. Hahahahahahahaha, kwanza inachekesha, lakini pia inahuzunisha...
4 Reactions
62 Replies
3K Views
Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji , na wala hamna taarifa wala maelezo yoyote ambayo yanatolewa na mamlaka husika. Meneja umetulia ofisini una sign posho...
5 Reactions
23 Replies
624 Views
Anonymous
KERO
Imekuwa kawaida Mtumishi kusema ''nina mwaka 2,3 ,4 nk, nahangaikia swala la uhamisho na ugumu upo katika Ofisi za halmashauri hawataki kuruhusu mtu kuhama'', Mtu unaweza jaza kwenye mfumo (ess...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
1 Reactions
4 Replies
164 Views
Anonymous
KERO
Wakazi wa mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino) tumekosa maji toka July 2023, DAWASA hawatoi majibu ya kuridhisha. Na si mbali na ofisi za Mkuu wa wilaya ya Ubungo lakini hakuna utatuzi wowote wala...
1 Reactions
5 Replies
423 Views
Back
Top Bottom