KERO Threads

Naomba Serikali kupitia Waziri wa Maji, Juma Aweso afuatilia chanzo cha Wakazi wengi wa Mkoani Morogoro kukosa huduma ya maji. Hii hali inatutesa sisi wakazi wa Morogoro kwa muda mrefu sasa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous
KERO
Salaam, kwa namna ya pekee naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu upatikanaji wa maji manispaa ya Morogoro. Kumekuwa na utaratibu wa maji kutoka kwa siku, napo kwa masaa machache. Ni ajabu...
0 Reactions
3 Replies
153 Views
Niliwahi kusema hapa kwamba tangu Serikali ijue kwamba watanzania ni wepesi wa kusahau na wala si wafuatuliaji basi wana ahidi na kudanganya watakavyo. Mwezi March TARURA walitoa ahadi kupitia...
2 Reactions
18 Replies
704 Views
Nimekuwa nikipita mara kwa mara mtaa wa Lindi kariakoo ili kuegesha gari kwenye eneo la maegesho gerezani. Ile barabara kuanzia makutano ya mtaa wa Lindi na Msimbazi mpaka makutano ya Lindi na...
0 Reactions
9 Replies
358 Views
Hivi TARURA Mkoa wa Mbeya, kilichowafanya mkamwaga vifusi kwenye hii Barabara ya kutokea Shule ya Sekondari Sangu kuelekea Benki Kuu na kuviacha bila kusambaza ni nani? Barabara ni mbovu...
0 Reactions
3 Replies
259 Views
Anonymous
KERO
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanatuangusha Watanzania kwenye huu mfumo wao wa TANCIS ulioboreshwa tangu wamezindua Jumatatu imekuwa inasumbua sana hasa kwa Mawakala wa Forodha kwenye...
0 Reactions
1 Replies
262 Views
Anonymous
KERO
Radi ilipiga na kuunguza nguzo hadi kukatika kijiji cha Ilungu karibu na shule mwezi wa 11 lakini cha ajabu mpaka leo bado hawajaja kuweka nguzo mpya ili wananchi wapate huduma ya umeme
0 Reactions
0 Replies
37 Views
Wanajukwaa habari za muda huu. Ninalazimika kupanda jukwaani kutokana na usumbufu mkubwa sana uliopo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF . Hawa watu wanakuwa na vipengele vingi vya kufuatilia na...
2 Reactions
11 Replies
735 Views
Wasafiri mnaopitia barabara hii hakika wanaona adha kubwa na taabu na uharibifu mkubwa wa barabara hii. Barabara hii ilijengwa na kuisha mwaka 1980 na Kampuni ya Lanari ya Italia na tangu wakati...
0 Reactions
2 Replies
198 Views
Wakuu habari za usiku, Natumai nyote mko salama. Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar. Katika harakati za kutafuta mkate...
3 Reactions
8 Replies
344 Views
Anonymous
KERO
Kumekuwa na changamoto kwa takribani wiki moja sasa kwenye MFUMO wa ESS (Employee Self Service) kushindwa kupakia majukumu ya kiutumishi kwenye kipengele kilichomo ndani ya mfumo huo cha PEPMIS...
1 Reactions
0 Replies
439 Views
Usafiri wa daladala kwa sisi wakazi wa kigamboni ni kero na shida kubwa. 1. Giza likiingia nauli zinapandishwa juu; Zinakuwa tofauti na zile elekezi za serikali. 2. Jioni daladala zinafanya kazi...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri. 2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni...
1 Reactions
24 Replies
389 Views
Kuna kampuni ya kutoa mikopo mitandaoni inatumia majina ya "USTAWI LOAN, HAKIKA LOAN, YOYO PESA na BOBA CASH wanatoa viwango vya mikopo tofauti na wanachokitangaza mitandaoni. Mfano, kwenye app...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Anonymous
KERO
Wananchi wa Tegeta Wazo mtaa wa Butterfly sports bar wanateseka na kelele zinazotokana na bar hiyo kukesha wiki nzima kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili MMida ya usiku wanafungulia sauti kubwa sana...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Hapa mtaani kwetu kuna changamoto ya kimazingira inaendelea huu ni Mwaka wa tatu sasa maeneo ya Msasani Mikoroshini yanaathiriwa na maji taka yanayotoka kwenye makazi ya mtu mmoja ambaye ni kama...
1 Reactions
8 Replies
456 Views
Kumekucha Wadau. Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara...
0 Reactions
6 Replies
396 Views
Hawa Nyash sorry YAS Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida... Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu! Na ukipiga huduma kwa wateja...
3 Reactions
15 Replies
301 Views
Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na...
34 Reactions
267 Replies
22K Views
Anonymous
KERO
Wastani wa Malori zaidi ya 1,000 hutoka kila siku Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali ya Tanzania na Nchi Jirani. Upanuzi wa barabara hiyo kutoka Ubungo hadi Kimara ni suluhisho la muda mfupi...
0 Reactions
3 Replies
387 Views
Back
Top Bottom