KERO Threads

Anonymous
KERO
Shule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na...
9 Reactions
100 Replies
3K Views
Tanzania kwa nini tunakua namna hii? Watu wa Brela mtu ameshakamilisha na kujaza form zote na kulipia kila kitu kitendo cha mfanyakazi wa Brela kubonyeza button "FINISH" kinachukua siku 2 mpaka 3...
1 Reactions
1 Replies
115 Views
Group limeundwa na watu wa DAWASA wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi. Mh. Waziri anahangaika huku na kule lakini wafanyakazi wa DAWASA wachache wanafanya masihara na maisha ya...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Sijui hii mamlaka inakwama wapi, ni wiki ya nne sasa Tabata Bonyokwa hatuna maji. Hii imekuwa kero ya miaka na mikaka na bado hatujapewa ufumbuzi. Tulipangwa kuwa kinajengwa kituo cha kusukuma...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Anonymous
KERO
Hili jambo linasikitisha sana, unasubirishwa kwenye foleni saa kadhaa halafu majibu unapewa mafupi ambayo hayana msaada wa shida uliyoifuata, meanwhile wanakuzungusha bila kujua umetoka wapi...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
Anonymous
KERO
Transfoma limeharibika kila ukipiga simu wanasema wanashuhulikia, ndio mwezi mzima? Tafadhali Tanesco kanda ya Pwani tuooneni huruma miradi inakufa maisha yanakuwa magumu, karne hii bila umeme...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Katika siku za hivi karibuni, wateja wamekuwa wakijiunga na kifurushi cha GB 10 cha mwezi mzima, lakini ndani ya siku tatu tu, bando limekwisha, huku matumizi halisi ya data yakionyesha kiwango...
9 Reactions
38 Replies
669 Views
Anonymous
KERO
Habari. Kuna kero moja Manispaa ya Singida, kumekuwa na tabia ya uchelewaji wa kuchukua taka katika baadhi ya maeneo hasa Ginery. Wananchi wanatoa taka nje siku ya kubeba hawaji kuchukua. Hii ni...
0 Reactions
0 Replies
226 Views
Anonymous
KERO
Wahudumu wa uzazi katika hospitali ya wilaya ya Mbozi, kliniki ya uzazi wanatoa lugha ya matusi sana, udhalilishaji kwa wanawake, mfano mwanamke asipokuja na dela hutukanwa, hufukuzwa mpaka aje na...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Anonymous
KERO
Chuo kikuu cha SAUT Mwanza kimeweka hadharani taarifa za wanafunzi ambao hawajasajiliwa kwa mwaka mpya wa masomo Taarifa hizo zinajumuisha Majina kamili, namba za simu , emails, tarehe mwezi na...
1 Reactions
24 Replies
604 Views
Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, Wilaya ya Ubungo, wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Sisi Wakazi wa Kahama kiukweli tunayo kero ya barabara kutokuwa na ubora mzuri hali ambayo imekuwa ikitupa shida kwenye kutekeleza majukumu yetu. Barabara za mjini takribani kote ni changamoto...
1 Reactions
3 Replies
419 Views
Habari ya muda huu wanajukwaa. Nimelazimika kuandika hapa jukwaani kuhusu taasisi tajwa hapo juu. Tangia mwezi oktoba nilijaza fomu za kuomba fao. Nilijibiwa kama taarifa zimepokelewa na mwajiri...
16 Reactions
48 Replies
1K Views
Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana. Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali...
1 Reactions
1 Replies
170 Views
Hii nchi ni kama ina laana hivi. Umeme unakatika hovyo sana Majenereta yamerudi kwa kasi kariakoo. Huku mitaani wanakata hadi usiku
8 Reactions
54 Replies
1K Views
Mara kadhaa Serikali imesisitiza kuwa suala la malipo ya michango ya ziada ni suala la makubaliano kati ya Shule na Wazazi au Walezi wa Watoto, hilo linaangukia pia kwenye suala la chakula kwa...
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Salaam Imekuwa kero, shida, usumbufu na tabu kwa abiria wanaotegemea usafiri huu katika vituo vya kati vilivyopo katika njia kuu za mabasi ya mwendokasi. Mfano njia ya kimara kuelekea gerezani...
1 Reactions
7 Replies
519 Views
Habari ndugu zangu wana jukwaa wenzangu. Hili Jiji la Mbeya licha ya kukumbwa na ugonjwa wa Kipindupindu ambao kila siku tunasikia Serikali inapambana nao lakini hali ya uchafu katika baadhi ya...
0 Reactions
11 Replies
318 Views
Anonymous
KERO
Watumishi wa umma tumekua tukiomba nyaraka za madai ya madeni yetu mara kwa mara ila hayafanyiwi kazi. Watumishi wengi wa umma wanaidai serikali malimbikizo ya madai mbalimbali ikiwemo kupanda...
2 Reactions
5 Replies
508 Views
Anonymous
KERO
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mh. Rais Samia kwa kuwajali kwa dhati ya moyo watumishi wote wa umma. Sio siri kwa sasa watumishi wamekuwa wakitimiziwa haki zao za msingi kwa wakati kabisa bila...
0 Reactions
2 Replies
448 Views
Back
Top Bottom