Baada ya TRA kubadili mfumo wa forodha umesababisha mizigo kuchelewa kutoka bandari na kupeleka gharama za kutoa mzigo kuongezeka. Mfano mzigo kutoka Zanzibar unachukua siku 5 kutoka bandarini...
Baada ya TRA kubadili mfumo wa forodha umesababisha mizigo kuchelewa kutoka bandari na kupeleka gharama za kutoa mzigo kuongezeka. Mfano mzigo kutoka Zanzibar unachukua siku 5 kutoka bandarini...
Barabara nyingi za Dar alama za wavuka kwa miguu, alama za matuta na mistari ya kutenganisha barabara upande wa kushoto na kulia zimefutika ambapo ni hatari kwa madereva na raia hasa wakati wa...
Yaani sio halmashauri ya Kilosa tu tunateseka kwakweli, na ilitakiwa tupewe pesa ya kujikimu ndio twende kazini huko na sio halmashauri moja ni zote tunateseka na hapa mishahara yote hatujapewa...
Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na...
Miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) haswa upande wa Hostel za Social umekuwa kikwazo kwa wanafunzi wanaotumia hivyo tunaomba mamlaka ishughulikie hili suala kwa afya bora za...
Kero yangu ni kucheleweshewa majibu ya kusitisha mwaka wa masomo (postponement) hasa kwa vyuo Kama UDSM jambo linalofanya baadhi ya wanafunzi kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya...
Barabara ya Silent Inn kuelekea kanisani Kiranyi na freedom lodge Sakina Arusha,iko kwenye hali mbaya mkandarasi aliyepewa kazi ya matengenezo anasua sua sana tangu mwaka jana ameshafanya kazi ya...
Ni toka mvua za mwaka jana 2024 mpaka leo barabara za Kichangani kuanzia Shule, Kisimani hadi Msikiti wa Mzee Nandule, kote huko njia hazipo ni kama vile Serikali imesahau kuwa kuna watu wanaishi...
Salama wakulal?
Kuna shida hapa Arusha, haisi za kwenda njiro ikifika saa tatu usiku nauli inapanda kutoka mia sita kwenda buku!
Kwanini wanafanya hivyo wakati nauli inajulikana ni mia sita?
Ni takribanii wiki kadhaa tangu matokeo ya Mtihani wa Leseni yatoke mpaka sasa bado tunasubiri kutangaziwa siku ya kwenda kuchukua Leseni. Hili sio shida kwa sababu huenda ni Maandalizi...
Katika hali isiyo ya kawaida website ya kusajilia Kampuni ya ORS iliyo chini ya BRELA iko down kwa zaidi ya masaa 3 sasa ! Ikitoa ujumbe wa "capacity problem" message kama hizi hutokea pia ambapo...
Malaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu zangu mmetoa matangazo ya kazi na kuwataka Watanzania waombe lakini sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya mtandao wenu ni shida kiasi kwamba inakuwa ni vigumu...
Kumekuwa na changamoto wakati wa kuhuisha leseni za LATRA Kwa waliopata mwaka 2023 ikidaiwa kuwa tumepewa kimakosa, huku tukifanya kazi kwa takribani miaka 2, Mwaka wa tatu huu unaambiwa umepewa...
Naomba TAMISEMI iangalie posho za kujikimu Kada ya Ualimu Mwaka 2019 Makete hatukupewa fedha hizo. Kila tukiuliza tunaambiwa Serikali bado haijaleta fedha hizo ilihali wilaya nyingine walilipwa...
Kituo cha afya mji wa Tunduma marufu kama Serikalini wanatoza fedha ya kumuona daktari, vipimo pamoja na kuuza dawa kwa wagonjwa wachanga wa chini ya miaka mitano
Serikali iingilie kati suala...
Wanafunzi hao wameshindwa kusaini malipo ya ada kwenye mfumo kutokana na changamoto za mfumo wenyewe, jambo hili linawafanya washindwe kufanya mitihani yao ya muhula huu ambayo inaelekea kuanza...
Wakuu salam,
Sijui kwa maeneo mengine ila huku mitaa ya Mbezi Beach kwa Zena kuna maboresho ya mfumo ya maji taka ambayo yanafanywa kwa baadhi ya nyumba wanaotaka kuwekewa mfumo huo. Walianza...
• Mhadhara (80)✍️
Kule jijini Tanga (tena katikati ya jiji) ifikapo kuanzia saa tatu na nusu (21:30 Hrs) usiku hakuna usafiri wa daladala, bodaboda, wala bajaj licha ya kuwa abiria wanakuwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.