Habari wanajukwaa wenzangu na Mamlaka zote zinazohusika.
Kumekuwa na sintofahamu sasa ya muda mrefu kuhusu nini hatima ya Wakazi wa Nachingwea katika upatikanaji wa Maji na Salama.
Tunaomba...
Rejea mada tajwa hapo juu.
Shule ya sekondari Mawindi ambayo Inafanya Vizuri katika matokeo ya Kidato cha nne kwa Miaka mitatu mfululizo wameweza kufuta Division Zero.
Lakini pamoja na Uwepo wa...
Tuna miezi mitatu hatuna maji
Eneo ni kajima (Rivaside juu) mtaa wa Kibangu Ubungo
Maji hayatoki lakini watu wanauza maji na kuleta na magari na kuyauza kwa ndoo 500
Tumelalamika tumechoka...
Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana.
Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE"...
Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali nchini hususani ndani ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na wimbi kubwa la kuenea kwa taka za chupa za plastiki za rangi hasa zinazotokana...
Kumekuwa na Kero ya kusuasua kwa mfumo wa PEPMIS kwa kitambo Sasa. Mara mtandao umefungwa, mara uliweka taarifa huzioni. Na mbaya zaidi hata huduma zile za kuunganishwa na Taasisi za fedha ni...
Sasa ni mwezi wa 7 hatujawahi kupata maji ya Dawasa. Mateso tunayopata ni makubwa mno! Majirani zetu wote wanapata maji ila sisi hatuyapati hayo maji kabisa. Tangu kipindi hicho tunanunua maji tu...
Ubungo Kibangu mtaa wa Kajima kuna shida sugu ya maji, na Mbunge ni Profesa Kitila Mkumbo lakini hamna kitu ametusaidia
Suluhisho la maji alileta mradi wa matenkI yaani matenki yanajazwa maji...
Zimekuwepo jitihada za Serikali na wadau wa Sekta ya Afya kusambaza Magari ya kubebea Wagonjwa (Ambulance) na sasa ukienda hospitali nyingi unakuta magari hayo, lakini kwa hapa Shinyanga licha ya...
Kwenye app ya simbanking kuna sehemu ya Taarifa ya akaunti, ukichagua taarifa fupi ya miamala 10 iiyopita, utaandikwa jumla ya makato ni shilingi 0.00
Ajabu ukithibitisha kuangalia miamala...
Hapo awali nlileta kero kuhusu kukosekana kwa huduma za kimtandao katika kata za Kikio na Misughaa ,mkoani Singida.
Kuhusu kero za mnara wa shirika la TTCL,mnara unatumia mitambo ya umeme wa jua...
Mimi ni mfanyabiashara wa dawa za binadamu (pharmacy) katika Wilaya ya Bagamoyo. Ningependa kuwasilisha changamoto kubwa inayowakumba wagonjwa wanaotibiwa katika hospitali ya wilaya hiyo...
Wakuu,
Wizara ya Maji nawasalimu.
Bunju A maeneo ya Dogodogo Center hamna maji hii ni wiki ya 2 sasa, yalitoka siku moja tu ndio ikawa kimoja hadi leo. Mbona mnataka kutufanya ngamia wenzenu na...
Nipo Mpanda mjini, Kata ya Shanwe, mtaa wa Kilimahewa. Kuna eneo kama kaya 40 au 50 zilirukwa na Umeme muda mrefu, na hili suala ni muda wananchi wamejaribu kulifuatilia, hadi engineer...
Naomba Serikali iangalie kuna changamoto katika kivuko cha Busisi - Kigongo ambapo kuna vivuko vitatu yaani MV Mwanza, MV Misungwi na MV Sengerema lakini kwa sasa kivuko kinachofanya kazi ni...
Malimbe asilimia kubwa ya wakazi ni wanafunzi wa chuo cha SAUT kwa asilimia 75 haichukui zaidi ya KM 10 kwa mkazi yeyote wa malimbe kufikia ziwa victoria lakini changamoto ya maji ni kubwa sana...
NMB Njombe madiridha yako mawili tu ya kuchukulia pesa na ndiyo yanahudumia mji mzima wa Njombe, yaani unafika saa tatu asubuhi ujue kuondoka saa sita hiyo ndo upate huduma.
Unaweza Kuta katika...
Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (kwa Vice, Mnadani).
Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa ambalo lipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.