WASALAAM,
Napenda kumpongeza meneja wa NHC urafiki kilipokuwa kiwanda cha nguo zamani cha kanga.
anafanya kazi nzuri sana ya kurekebisha miundo mbinu na kukarabati majengo ya flats za urafiki...
Mh Raisi na mama yetu mpendwa SAMIA SULUHU HASANI mimi kama mwananchi wa kijiji cha kwasekinga kuna malalamuko kutoka kwa wananchi wa vijiji vya kwasekinga,lugulu na kanza katika jimbo la Same...
Mwanza kata za Isamilo na Kiloleli hazina maji kwa zaidi ya wiki mbili sababu ukarabati miundo mbinu, maji tunapa ziwani . Hatujui yata rudi lini je huo ni utaratibu wa ukarabati maana imezoeleka...
Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki...
Mh Rais Samia Suluhu Hassan
Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Awali ya yote nianze kwa kukutakia uzima na afya katika kutekeleza majukumu yako.
Baada ya salamu hizo nije...
Hivi hii Kampuni ya TTCL sasa hivi inashida gani? Ni mwezi sasa unaisha huduma za kutuma pesa kwa mitandao mengine haipo. Ukiwapigia simu kitengo cha huduma kwa wateja kupita 100 wanasema...
Toka nimehamia hapa nimeshaenda butcher zote ila kila sehemu mizani yao imechezeshwa.
Kila sehemu nilikuwa nikienda nikiona nyama pungufu nilikuwa naondoka.
Ila leo nimeenda buchani mwenye bucha...
Zoezi la uandikishaji Wananchi kwa ajili ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) limefanyika katika Kata ya Goweko huku kukiwa na mwitikio mkubwa unaoonekana kuzidi idadi ya Watendaji na vifaa...
Imekuwa ni kawaida na mazoea makubwa sana sasa kwa madereva bajaji mkoa wa Mbeya kupakia abiria wawili mbele na wengine wakiwa wamening'inia na dereva kuendesha bajaji huku akiwa amechuchumaa tena...
Jiji la mwanza na wilaya ya ilemela hasa maeneo ya kuanzia mabatini mpaka nyakato hatuna hduma ya maji toka jana siku ya Alhamis tarehe 27/2/2925 mpaka leo Ijumaa ya tarehe 28/2/2025.
Maji...
Habari ya asubuhi wanabodi kijana wangu anahangaika kuomba ajira katika jeshi la zimamoto na uokoaji ila cha ajabu portal yao inasumbua inakataa taarifa inaandika processing tu kwa aliefanukiwa...
Takribani wiki mbili sasa malori yamekuwa yakifunga njia ya kuingia kigamboni.
Hii inaonekana taratibu za malori kuingia na kutoka bandarini hazisimamiwi ipasavyo.
Usumbufu wa watumiaji wengine...
Sasa ni wiki hakuna maji sehemu za Jiji la Tanga. Nobody cares!
Angalia tatizo ni nini na mtupe maji!
Atakaye kuwepo mkutano wa leo wa Samia Mkwakwani stadium, please raise this issue maana sasa...
Je, serikali imeshindwa kabisa kuwaondoa na kuwadhibiti watoto hawa wa mitaani wanaolala chini ya daraja la Ubungo(Kijazi interchange) na ambao wamekuwa wakifanya kazi ya kusafisha vioo vya...
Habarini wakuu, nina kero kuhusu ofisi za Kata ya Chamazi Magengeni zamani kilipokuwa kituo kidogo cha polisi.
Majuzi wamekuwa wakikamata watu hasa wakina mama wanawachukua na bajaji mpaka kata...
Napenda kutoa malalamiko yangu makali na kero kuhusu kucheleweshwa kwa malipo ya fidia kwa ardhi tuliyotoa KIPUNGUNI kwa ajili ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa serikali. Taarifa ya tathmini ya...
Hatujawahi kuona umeme ukikatwa bila kuelezwa sababu kama huu wakati Rais yuko ziarani mkoa wa Tanga. Tumeambiwa tuna umeme mwingi wa ziada kwanini tunakatiwa umeme?
Tusifuatilie ziara ya Rais...
Walituma text kwa watu ambao hawajachukua Vitambulisho vyao wafike office za NIDA kabla ya tarehe 28 Februari, 2025 ila utaratibu wa kukipata umekuwa mbovu sana sana haufai na sio sahihi...
Salamu Wakuu,
Kwa waliowahi kufika Kibamba kwenye mnada maarufu wa nyama tamu ya mbuzi, bila shaka mtakuwa mmekutana na changamoto kubwa ya miundombinu duni – hasa vyoo.
Hali ni ya kusikitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.