KERO Threads

Tangu jana kuna maeneo umeme umekuwa ukikatika katika na vipindi virefu bila kuwa na umeme. Hali hii inatuletea usumbufu sana na kuturudisha nyuma kiuchumi hususan tunaoishi kwa kutegemea umeme...
1 Reactions
2 Replies
182 Views
Masama Kilimanjaro hii sehemu ni balaa wakuu umeme unakatika sio chini ya mara 50 kwa siku yaani kila baada ya dakika 5 umeme unakatika nina wiki ya pili kikazi huku aisee sio poa nikiwauliza...
3 Reactions
32 Replies
538 Views
Pamoja na kero ya kukatika kwa umeme inayoendelea katika Jiji la Dar es Salaam, Tanesco wanaweza kukata umeme na kuurejesha mara 8 au 10 kwa siku katika Manispaa ya Kigamboni. Hii ni hatari sana...
1 Reactions
3 Replies
231 Views
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na tatizo la mara mara la kukatika umeme katika maeneo ya Yombo Vituka, jijini Dar Es Salaam. Kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 30 . Umeme ndani...
1 Reactions
2 Replies
129 Views
Mimi ni Mkazi wa Masasi, nilihamia huku miezi kadha iliyopita, moja ya changamoto ambayo niliikuta huku na wenyeji wanadai imekuwepo kwa muda sasa, ni suala la umeme kukatika mara kwa mara. Huku...
2 Reactions
7 Replies
561 Views
Kwa kipindi cha mwezi wote wa Kwanza hadi leo kuanza mwezi wa pili kumekuwa na kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo ya mji mwema na maeneo mengine ya Mtwara. TANESCO mnaturudisha sana nyuma...
0 Reactions
6 Replies
159 Views
Hivi jamani ndugu zetu tatizo la umeme na sehemu nyingine mnazoishi ni hivi hivi kama huku tulipo sisi maana huku Wilaya ya Liwale Mkoa wa Lindi siku umeme ukiwaka kutwa nzima kuanzia asubuhi hadi...
2 Reactions
15 Replies
432 Views
Mimi ni mkazi wa Mbagala, Mbande, na kwa kweli hali ya umeme katika maeneo haya ni ya kutisha. Maeneo yote yanayozunguka Chamanzi, Mbande, na Kisewe yanakumbwa na matatizo makubwa yanayohusiana na...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Kuna shule ipo Morogoro mjini inaitwa shule ya msingi Bungo Mlimani. Hii shule ni kipengele sana yaani mtoto wa darasa la pili anatoka nyumbani saa kumi na mbili asubuhi anarudi nyumbani saa kumi...
11 Reactions
84 Replies
1K Views
Mbeya city council viongozi wamekosa uwajibikaji kabisa baada ya kuwasilisha kero ya ubovu wa miundombinu ya barabara ndani ya stand ya nane nane , kumekuwa na vifusi vilivyo mwagwa ndani ya stand...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Anonymous
KERO
Hivi karibuni tatizo la kukatika kwa umeme mkoa wa Mtwara limekuwa kubwa na kero kwa wananchi. Mkoa wenye gas asilia na makaa ya mawe lakini tatizo la umeme limekithiri. Najiuliza wakazi wa...
0 Reactions
1 Replies
162 Views
Imekuwa ni kama fashini sasa Mtoto mdogo kabisa mwenye miaka 9 au 12 anakuletea barua kutoka shuleni inasomeka mtoto aanze kwenda boarding kwasababu masomo yanaanza saa kumi na mbili asubuhi...
0 Reactions
4 Replies
167 Views
Anonymous
KERO
Ndugu zangu, kuanzia Mbezi mwisho kwenda Goba na mitaa yake (Kwa Robert, Muhimbili, Mageti n.k) maji ni changamoto karibia wiki ya pili sasa. Na hili joto tunaishia kuoga jasho tu, mamlaka husika...
2 Reactions
8 Replies
165 Views
Hii tabia yenu ya kufunga barabara kuingia coco beach mpaka tanzanite Bridge mnatuletea wengine kero. Bora mtafute maeneo mengine mkafanyie mazoezi yenu, mazoezi yenu wengine mnatuletea kero tu...
4 Reactions
22 Replies
403 Views
Wakuu, Leo nimetoka Mwanza kwenda Nairobi kwa ndege ya Air Tanzania. Ndege hizi zinakera sana. Kwanza kutoka Mwanza ilichelewa kwa nusu saa. Tukavumilia Kasheshe imetokea tena usiku huu hapa...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Air Tanzania mlichonifanyia mmebadilisha safari yangu ya ndege ya saa kumi jion hadi saa tano usiku. Cha kushangaza hamjibu email wala namba yenu ya simu ambayo ni 0748773900. Simu inaitaa mpaka...
2 Reactions
12 Replies
453 Views
UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA. Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina...
0 Reactions
2 Replies
160 Views
Habari Wadai, Mimi naomba nende Moja Kwa Moja ktk mada yangu, Kuna hii kero ya walimu wilaya kilwa mkoani Lindi kucheleweshewa kulipwa nauli zao za likizo Kwa wakati, inafikia hatua hadi mwalimu...
2 Reactions
4 Replies
374 Views
Siyo kwamba Traffic haziona la hasha wanaziona na wanaingia Hadi ndani mwezi wa kwanza mwishoni nimepanda gari ya kwenda Geita ikitoka kakola hiki ndo nilicho jionea! Kwanza unapotola tu stend ya...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Anonymous
KERO
Hali ya barabara hii, kwa kweli ni aibu. Miaka nenda miaka rudi hakuna anayeliona hili. Tuna viwanda vikubwa katika barabara hii ya Kilwa kuanzia Mbagala kokoto barabara haifaii aibu, kila...
0 Reactions
3 Replies
107 Views
Back
Top Bottom