KERO Threads

Anonymous
KERO
Ndani ya Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) kuna majengo yanayotumiwa na baadhi ya wizara. Majengo haya ni hosteli za Chuo kutaja Wizara chache zilizopo mpaka sasa ni Kilimo, Viwanda, Maendeleo ya Jamii...
3 Reactions
2 Replies
180 Views
Kuna haja gani ya kuchangisha watumishi pesa ili mitungi ya gesi inunuliwe kwa pesa za watumishi kwa lengo la kutengeneza taswira kuwa mama katoa zawadi ya mitungi ya gesi kwa wananchi. Kama...
3 Reactions
16 Replies
703 Views
Wakuu, Nadhani tutakubaliana pande zote kuwa maji sasa hivi ni changamoto. DAWASA walishauri watu wafunge pump, maji hata yasipokuwa na presha sana inaweza kusaidia! Arooo, sasa hivi kwanza maji...
1 Reactions
24 Replies
364 Views
Kama hamkuwa mmejipanga bora mngeacha kwanza Siku 3 server ipo chini Siku 2 mtu hawezi kupokea OTP Mmeleta kero sana
2 Reactions
12 Replies
785 Views
Licha ya sisi Wananchi kulalamika kila mara lakini ni kama Mamlaka zinazohusika zimeziba masikio, kwa kuwa haitusikii, wanatatuaje kilio chetu. Kwenye kata yetu ya Kijombe, Wilaya ya Wanging'ombe...
4 Reactions
11 Replies
384 Views
Wiki ya pili sasa kuna foleni kubwa sana, MWAUWASA mabomba yamepasuka na baadhi ya mitaa maji hakuna. Daraja halina njia ya watembea kwa miguu. Njia za michepuko za Mabatini ni mbovu na zina...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Sura ya mji wowote hujionesha kwenye maeneo makuu ya kibiashara (business center), soko kuu na stendi kuu ya mabasi... Kwa wakazi wa Tabora na wasafiri kama mimI mnaofika ktk mji huu wa Tabora...
0 Reactions
7 Replies
187 Views
Anonymous
KERO
Stendi ya Mabasi na Daladala ya Nanenane iliyopo Mbeya imekuwa na barabara zenye ubora mdogo kutokana na uwepo wa mashimo mengi ambayo yamekuwa yakisababisha usumbufu kwa Watumiaji iwe wa Vyombo...
0 Reactions
5 Replies
405 Views
Anonymous
KERO
Juzi kati hapo baadhi ya walimu wanaojitambua halmashauri ya Muleba mkoani Kagera walimwendea mkurugenzi kudai haki yao kuhama CWT kwenda CHAKUHAWATA kwenye makato nafuu (elfu 5 tu haijalishi...
0 Reactions
17 Replies
972 Views
Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo. Mpaka muda...
10 Reactions
97 Replies
4K Views
Anonymous
KERO
Habari wakuu jamani naomba kutoa kero yangu kwa barabara ya bagamoyo. Kwa hapa maeneo ya bunju B panatokea ajali za mara kwa mara kwa maana kuna mkusanyiko mkubwa wa watu na hakuna taa wala arama...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Wananchi wa mtaa wa Nyeburu uliopo kata ya Buyuni ILALA, Dar es salaam wameilalamikia mamlaka ya maji safi na mazingira DAWASA Kisarawe kwa kushindwa kufikisha huduma ya maji kwa zaidi ya miaka...
1 Reactions
9 Replies
191 Views
Haya habari mwana JF. Najua kuna stendi nyingi za mabasi nchini Tanzania na nyingi mno zina changamoto zake. Changamoto nyingi NI hawa vijana wapokea abiria kwa ajili ya kwenda kuwaonesha ofisi...
1 Reactions
9 Replies
324 Views
Jamii, hii Barabara inayotoka Tengeru sokoni kuelekea Chuo cha maendeleo ya jamii na Chuo cha mifugo (LITA) Tengeru NI mbaya Sana, viongozi hebu tupieni jicho hii barabara inatesa Sana Kwa kweli.
0 Reactions
8 Replies
206 Views
Ubungo kuna shida ya maji sio poa Usijichanganye ukapanga Ubungo kibangu, kajima,makoka, Rivaside juu au Msewe, maeneo mengi ya Mbezi Mfano Ubungo kibangu huwa ni kawaida ya watu kukaa miezi...
11 Reactions
115 Replies
3K Views
Mheshimiwa Rais popote ulipo, na mheshimiwa Awesso, ni miezi mitatu sasa hatujui maji wakazi wa Ubungo Kibangu mtaa wa Kajima tunaomba msaada wenu viongozi wetu hali ni mbaya sana. Tuna miezi...
2 Reactions
25 Replies
515 Views
Suala la matuta barabara ya Cheka - fery eneo la shule ya Meka na Dege centre. Pale shule ya Meka ndio kuna zebra kwa ajili ya shule ile yenye wanafunzi wengi tu wanaotoka mpaka Pemba, Mnazi na...
0 Reactions
1 Replies
158 Views
Leo nimebahatika kupita katika Kivuko cha Kigongo - Busisi Mkoani Mwanza, nikiwa abiria nimekuta hali ni mbaya, ni kero Kwa kila mtu. Foleni ya magari ni kubwa sana, foleni ya abiria ni kubwa...
5 Reactions
21 Replies
882 Views
Tanesco tunaomba mtupe taarifa rasmi wakazi wa Kigamboni kuna shida gani mnakata umeme kila siku bila ratiba yoyote ili kufanya na sisi wananchi tujipange kuwa kuna mgao maana mnakata umeme saa 3...
0 Reactions
3 Replies
127 Views
  • Redirect
10 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom