KERO Threads

Anonymous
KERO
Wafanyakazi wa Chuo Cha Mkwawa tunapitia Changamoto kubwa ya usafiri wakati wa kwenda na kurudi kazini. Uongozi wa Chuo umeweka Katazo la Pikipiki (Bodaboda), Ikiwa mfanyakazi anakuja na Pikipiki...
0 Reactions
31 Replies
761 Views
Anonymous
KERO
Mimi ni mhitimu wa chuo cha mafunzo na ufundi VETA Dar es salaam, kozi ya udereva wa awali, ila kumekuwa na adha katika suala la kupata leseni nimeenda TRA zaidi ya mara mbili ila nimeambiwa...
1 Reactions
3 Replies
253 Views
Anonymous
KERO
Wananchi wa Ruvu na vitongoji vyake tunateseka saaaana na shida ya maji aisee. Ni wiki ya tatu.mfululizo hatuna maji na tunauziwa dumu elfu moja. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba sisi wananchi ndo...
0 Reactions
4 Replies
162 Views
Anonymous
KERO
Kumekuwa na shida ya maji Wilaya ya Nachingwea kwa miezi minne sasa maji yanatoka kwa kusuasua wakati huohuo Mamlaka ya Maji (MANAWASA) haijatoa sababu za msingi za uwepo wa hali hiyo au wala...
0 Reactions
0 Replies
160 Views
Anonymous
KERO
Juzi tarehe 23/02/2025 saa mbili na nusu usiku walimkata panga mtoto wa jirani yetu hapa Mwanalugali B na kumpora simu kisha wakalisahau panga hilo eneo la tukio.
1 Reactions
1 Replies
142 Views
Wakuu nimekuja kwenu, ofisi za TRA Temeke zina fikirisha sanaa katika uwajibikaji wao Nili-register TRA TIN Number mwaka 2020 branch ya Mbagala sasa nataka nihamishe ile TIN number location isome...
0 Reactions
12 Replies
308 Views
Mimi nimekuwa mteja wa hizi bank za hapa nyumbani ila hii bank ya NMB ndiyo bank iliyoongoza kuniginbanisha na wateja Hakuna bank yenye mfumo mbovu kama nmb imagine nimefanya muamala kutoka nmb...
2 Reactions
14 Replies
457 Views
Ombi ni hilo tu, mengine nitakuwa na umbea! TANROADS hongera kwa kuchonga barabara ya pangani!
0 Reactions
6 Replies
161 Views
Chuo Cha Saut-Mwanza sisi wanafunzi tuliokwisha maliza masomo yetu kwa takriban miaka Sasa miwili tumekuwa tukiwadai Fedha ambazo tulizidisha, na baadae mkatupa maelekezo kuwa tuandike barua za...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Anonymous
KERO
Karibia asilimia 90% ya wahitimu wa chuo kikuu Cha Kairuki bado hawajapatiwa nakala za matokeo(result transcripts) yao Hadi hii Leo. Tunalalamika kwasababu tunakosa fursa za ajira zinatotangazwa...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Kilio hiki ni Cha wakazi wa magole, kitunda dar es salaam. Kumekuwa na changamoto ya umeme mdogo kwenye eneo la magole kwa mpemba mchafu . Hili tatizo linadumu zaidi ya miaka 2 sasa. Matumizi...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
  • Closed
Anonymous
KERO
Japo kila kukicha wananchi wa mtaa wa kanindo wanapambana kutatua changamoto ya maji ila mambo bado na hatima yao bado ni kizunguzungu. Licha ya kufatilia katika ofisi ya serikali ya mtaa na kata...
1 Reactions
0 Replies
61 Views
Barabara ya Tabata Chang’ombe ni barabara kongwe sana kiukweli inatia aibu sana zaidi ya miaka 30+ haina lami kabisa na wala mbunge wala viongozi hawaangaiki ikikaribia uchaguzi hapo wanafika...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
Hii hali ipo kwenye Eneo la Zahanati ya Kijiji Cha Mjughuda, kata ya Ikhanoda wilaya Singida vijijini mkoani Singida. Ambapo wahudumu wa Zahanati hiyo wanatoza hela na kuwalipisha wananchi hela...
0 Reactions
1 Replies
135 Views
Maji huku Mwanza imekuwa ni kero kubwa sana, wanachuo tunaishi kwa tabu sana tunapata shida kubwa ya maji ilihal tuko karibu na ziwa Victoria Sijui mnatusaidiaje kuepukana na hili. Tunalipia bili...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Anonymous
KERO
Leo hii naandika haya ni tarehe 20 takriban siku saba sasa kila unapowasiliana nao wanakuambia suala lako tunalishughulkia, ndani ya saa 24 usipowatafuta tena ndo inakuwa imeisha hiyo. Ukiwatafuta...
0 Reactions
0 Replies
40 Views
Anonymous
KERO
Kitendo Cha Shule za msingi ndani ya manispaa ya Urambo mjini mkoani Tabora kuwaruhusu wanafunzi wa madarasa ya la Saba kutoka shule Muda mbaya kuanzia saa mbili mpaka saa tatu usiku kunawaathiri...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini. Wizara ya Maji chini ya AWESO em...
0 Reactions
6 Replies
191 Views
Anonymous
KERO
BUHONGWA KAMA JANGWANI Wakazi wa Buhongwa jijini Mwanza hatuna maji ya uhakika. Kutoka vyanzo visivyo rasmi inasadikika wafanyakazi wa idara ya maji wana miradi yao ya kuuza maji ambapo hukata...
0 Reactions
2 Replies
117 Views
Anonymous
KERO
Nina fanya kazi kazi katika Mgodi wa Magesa Gold mine uliopo Nyamatagata wilaya ya Geita mkoani Geita. Changamoto iliyopo ni kwamba; tuna zaidi ya miezi mitatu (3) hatujapata mishahara, mgodi...
2 Reactions
6 Replies
483 Views
Back
Top Bottom