KERO Threads

Wana JF Kumekuwa na ucheleweshwa wa mizigo iliyokuja na ndege hasa zile za mashirika kama DHL. Toka tarehe 20/01 mizigo haina manifestation wala documents.
0 Reactions
11 Replies
332 Views
Baadhi ya Watumishi wa NHIF Kibaha Mkoani Pwani huduma zao sio nzuri, pia lugha zao pia sio rafiki kwa wateja, nimeshuhudia hali hiyo mara kadhaa na Wateja wengi wamekuwa wakilalamika. Mfano kuna...
2 Reactions
1 Replies
447 Views
Madarasa mengi na Maabara za Chuo cha DIT yana changamoto ambazo zinafanya tunashindwa kusoma tukiwa na utulivu, nazo ni; AC na feni nyingi hazifanyi kazi. Mfano mimi ninasoma ETE, Jengo la...
2 Reactions
50 Replies
1K Views
Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote. Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na...
0 Reactions
5 Replies
145 Views
Anonymous
KERO
Mtandao unakuwa mzito ukiwa Kiteto na kuna muda haupatikani kabisa ni kero kubwa kwa sisi tunaoitumia, pia Haloteli iweke huduma ya kurejesha miamala kama Mitandao mingine (Yas, Airtel na Vodacom)...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Nikiwa kwenye mizunguko yangu, nilipata nafasi ya kutembelea eneo la Kawe katika Viwanja vya Tanganyika Packers, ambako kumekuwa na shughuli mbalimbali zikiendelea hapo ikiwemo zile za masuala ya...
0 Reactions
9 Replies
676 Views
Anonymous
KERO
Stand ya Buzuruga iliyopo Wilaya wa Ilemela Mkoani Mwanza ina changamoto kubwa ya ukosefu wa vifaa vya kuwekea uchafu jambo linalosababisha Wadau wa stendi hiyo kumwaga uchafu chini ikifika usiku...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Anonymous
KERO
Mimi ni mzazi ninayesomesha watoto zaidi ya wawili katika shule za sekondari za umma katika halmashauri ya wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza. Kero yangu kubwa ni kukithiri kwa michango mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma...
2 Reactions
25 Replies
731 Views
Wahitimu wa Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Upanga Dar Es Salaam wapo katika wakati mgumu baada ya chuo hicho kushindwa kuwapa vyeti vyao vya kuhitimu bila maelezo yanayoeleweka. Hatua hiyo imekuja...
1 Reactions
2 Replies
360 Views
Anonymous
KERO
Tangu mahafali ya Chuo Kikuu Mzumbe (ndaki kuu) ifanyike tarehe 24/11/2024 mpaka leo tarehe 17/12/2024 chuo kimeshindwa kuwapatia wahitimu vyeti vyao na kila tunapofuatilia majibu yamekuwa...
2 Reactions
3 Replies
299 Views
Anonymous
KERO
Habari Wanajamii, Ninaandika kwa uchungu kielezea changamoto ninayoipiia sasa ya KUTOHAMISHIWA TAARIFA ZANGU ZA KIUTUMISHI KATIKA HALMASHAURI YANGU MPYA pamoja na ukweli kwamba nilihama kutoka...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Hii barabara sasa hivi ujenzi wake umekuwa kero maana hatuwezi kwenda kwenye majumba yetu, kumezibwa kote sehemu zote za kuingia
2 Reactions
5 Replies
188 Views
Jaman Kwa Hali hii Bora serikali irudishe ajira za ualimu KULE TAMISEMI ki ukweli huku kwenye interview tunakomoana hebu fikiria maswali haya kwenye GEOGRAPHY IIIC Miaka kumi imepita leo naulizwa...
19 Reactions
107 Replies
3K Views
Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu. Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa...
6 Reactions
67 Replies
2K Views
Anonymous
KERO
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu laptop ambazo zilitolewa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne na cha sita. Ingawa mpango huu unalenga kusaidia wanafunzi katika kujifunza, ukweli...
2 Reactions
0 Replies
94 Views
Anonymous
KERO
Bajaji zakutoka ngusero kwenda chini yamti (katikati ya mji) Arusha mjini kutoza nauli kubwa kwa abiria tofauti na maelekezo ya mamlaka husika. Nauli elekezi ni 600/= bajaji wanatoza nauli ya...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Anonymous
KERO
SUALA LA VYETI. Utaratibu ambao umewekwa na vyuo vya kati na sera zao unatakiwa kuchunguzwa na kufanyiwa maboresho, hasa VETA. Haiwezekani mtu amalize chuo na matokeo yatoke halafu akae mwaka...
1 Reactions
0 Replies
77 Views
Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli. Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini...
0 Reactions
2 Replies
175 Views
Anonymous
KERO
Salaam wakuu Ni takribani mwezi na siku kadhaa tokea wakazi wa maneno ya Kinyerezi mpaka Kifuru na viunga vyake waone maji yakitoka katika mabomba yao ya maji ya Dawasa huku pakiwa hakuna taarifa...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Back
Top Bottom