KERO Threads

Anonymous
KERO
Benki ya NMB Tabora wamekuwa na huduma mbovu. Huduma inayotakiwa kutolewa na watu watano ila inatolewa na mtu mmoja. Wateja wanapoteza muda mrefu bila kupata huduma. Mfano mtu nataka kujua...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Tunaomba wizara ya mawasiliano itusaidie kutatua changamoto ya mawasiliano.tunateseka,
0 Reactions
0 Replies
160 Views
Sisi Wananchi wa Kijiji cha Unyianga kilichopo Kata ya Mtamaa, Manispaa ya Singida tunalia kukosa huduma ya maji safi, ni miaka kadhaa sasa tangu ‘Danganya Toto’ ya kujengewa Tenki la Maji na...
0 Reactions
1 Replies
440 Views
Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu. Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu...
14 Reactions
62 Replies
2K Views
Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia. Inapotokea...
1 Reactions
2 Replies
412 Views
Ni jambo la kusikitisha kwamba mahakama ya Mwanzo Ilala haina njia mbadala ya kufanya shughuli zanazotegemea umeme kuendelea kama kawaida pale umeme unapokatika. Kuna watu waliahidiwa kufuata...
2 Reactions
9 Replies
319 Views
Chuo Habari zenu wakuu, Sisi Wanafunzi tunaoendelea na mwaka wa masomo ukitoa wale wa Mwaka wa Kwanza ambao ni wapya hapa Chuo cha DIT (Dar es Salaam Institute of Technology) tuna changamoto ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Anonymous
KERO
Habari za muda, Mimi ni mdau kutoka Kimara Temboni Saranga mtaa wa Majeshi, tuna changamoto ya maji kukatika ni wiki ya pili sasa hivi inaelekea na tumesharipoti kwa DAWASA lakini hadi hivi sasa...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Anonymous
KERO
Kumekuwa na tabia ya madereva wa mabasi ya usiku kwenda mwendokasi licha ya abiria kupaza sauti, mabasi yamekuwa yakienda kwa mwendo Kasi Hadi 120km/h speed kitu ambacho ni hatari. Mathalani basi...
2 Reactions
1 Replies
218 Views
Moja kati ya jambo ambalo limekuwa likipigiwa kelele ni kuhusu ubora wa huduma za Watoa huduma katika taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali, inaonekana ni kama sehemu ambayo Watu wengi...
13 Reactions
27 Replies
1K Views
Anonymous
KERO
Kila siku hasa jioni kuna pikipi zina pita maeneo ya Goba njia 4 na kupiga mafataki ya “STOP ENGINE” ambayo ulio kama mlio wa risasi na kuzuo hofu sana, hii tabia sasa ni mwaka 2 na naona...
2 Reactions
0 Replies
78 Views
Nilianza kufanya mchakato wa maombi ya kupata Pasi ya Kusafiria kwa kufuata njia halali, awali nilienda Kibaha Mkoani Pwani, kuna staff mmoja wa pale akanishauri kuwa kama nina haraka nifanye...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Anonymous
KERO
Huduma ya mabasi ya mwendokasi inazidi kuwa mbovu, wahudumu na madereva wananyanyasa sana abiria, tunacheleweshwa vituoni zaidi ya saa mbili na inakuwa kero tunachelewa makazini. Serikali...
0 Reactions
10 Replies
671 Views
Anonymous
KERO
Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi. Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia...
0 Reactions
1 Replies
214 Views
Huu ndiyo mwonekano wa Barabara kutoka Wilayani Bariadi kwenda Wilayani Itilima Mkoa wa Simiyu, hii Barabara ni hatari Kwa Sasa imekuwa kero kubwa kwetu wananchi. Barabara imejaa mashimo kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
378 Views
Anonymous
KERO
Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Sasa hivi jamaa wanaleta vitimbi vyao hadharani na hamna kitu unaweza kuwafanya. Ni kama wana utawala wao wapo Dunia yao isiyo na Sheria. Wao ndio mabingwa wa kubebana mishikaki na kuchomekea...
12 Reactions
102 Replies
3K Views
Anonymous
KERO
VItuo vya kukatia tiketi za basi ni changamoto sana kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka. Baadhi ya makampuni yamefungia mifumo ya kukata tiketi online pia makampuni mengine yamejikatia...
3 Reactions
3 Replies
222 Views
Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu...
1 Reactions
5 Replies
397 Views
Anonymous
KERO
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo...
1 Reactions
6 Replies
528 Views
Back
Top Bottom