Nilifanya kazi katika Kampuni ya Erolink Limited kwa takriban miaka mitatu lakini nikiwa hapo moja ya changamoto kubwa ambayo niliiona na nimeona bado ipo ni Muajiri kutowajibika katika kulipa...
Mara kadhaa nimefika Kituo cha Polisi Kawe kwa ajili masuala mbalimbali lakini nasikitika kusema kwamba watu ambao tunafika kituoni hapo tunakumbana na changamoto ya huduma choo ambayo sio rafiki...
Wakuu kheri kwenu nyote.
Naandika haya ikiwa siyo mara ya kwanza wala ya pili kuwasikia hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaweka nguzo za umeme pamoja na nyaya zake(cable).
Vijana hawa haijarishi...
Ukosefu wa maji safi na salama kwa sisi Wakazi wa Kata ya Kijombe, Wilayani Wanging'ombe imekuwa kero kubwa sana kwetu.
Kuna kipindi unapita mwezi mzima maji hayajatoka Bombani, hivyo...
Hivi ni TANROADS inamaana haya mashimo kwenye hii Barabara ya Kyela kuelekea Junction hamuyaoni au ni ujeuri tu?
Hii Barabara imekuwa kero kubwa sana kwa sisi watumiaji maana ina mashimo Hadi...
Haloteli wanawaunganisha wateja automatic siku hizi ili kama salio lako huwa hawalikati kutokana na kwamba huna huduma yoyote toka kwako basi wanalazimika kukuunga bila ridhaa yako wewe mteja...
NMB Bank nyie ni taasisi kubwa hapa nchini, kila siku mnajigamba kuwa ni Benki kubwa kuliko zote hapa nchini.
Ni kweli nyie ni wakubwa, nasi wateja wenu tunakubali hilo, ila Kwa upande wetu...
Ujenzi wa Kalavati umetelekezwa, Mkandarasi alianzaje kukata barabara wakati hayuko tayari kujenga? Mamlaka husika TARURA iko wapi? Wananchi tunateseka sana tunaoipita barabara hii kuelekea...
Sisi wakazi wa Kijiji cha Bukundi Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, ambapo Serikali ilitekeleza Mradi wa Maji ambao tuliambiwa thamani yake ni Sh. Milioni 500 kisha ukafanya kazi kwa muda wa miezi...
Napenda kuwasilisha malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara ya Kigamboni/Ferry - Cheka kuhusu hali mbaya ya barabara hii, hususan vipande kadhaa ambavyo lami imekwanguliwa kwa lengo la...
Mimi ni Mfanyabiashara wa Soko Kuu la Chifu Kingalu ambalo lipo Manispaa ya Morogoro, katika soko hili kuna changamoto kubwa hasa kuharibika kwa taa, swichi za feni pamoja na masinki ya kunawia...
Hali hii imezoeleka katika manispaa tajwa hapo juu! Na kugeuka maficho ya vibaka na machimbo ya watenda vitendo haramu!
Ni rai yetu kwenu uongozi wa manispaa. Kuja na mpango mkakati wa...
Kiukweli wafanyabiashara na wakazi wa Kaliua na Urambo tunateseka sana.. umeme kwa siku unakatwa zaidi ya mara nne na kiukweli haukai zaidi ya saà sita.
Kibaya zaidi TANESCO huku hawana lugha...
Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani.
Now moshi ni chafu imejaaa...
Wakuu salaam
Kumekua na tabia ya madereva wa malori kuegesha magari yao sio pembezoni bali katikati ya hii barabara muhimu kuanzia eneo la urafiki hadi ubungo darajani. hali hii imekua kero kubwa...
Salam Wakuu,
Kama kawaida msemaji kujiteua kwenye masuala ya maji Mbezi Beach nimekuja na update.
Kwa majibu tuliyopewa na Meneja wa DAWASA Kawe inaonekana kuna mgao. Maana maji yanazuiliwa kwa...
Sisi Watumishi wapya wa Sekta ya Afya katika Halmashauri ya Jiji - Dar es Salaam tunafanya kazi katika mazingira magumu mno.
Tangu tuajiriwe mwanzoni mwa mwezi Novemba 2024, kuna baadhi yetu...
Mimi ni mmoja wa madereva wa magari makubwa ya mizigo, pia ni mmoja wa waathirika wa changamoto ya mkwamo wa magari ambayo imetokea Kasumulu eneo la mpakani kati ya Malawi na Tanzania.
Kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.