Nilipotaka kuthibitisha taarifa kuhusu leseni za kuchimba madini ya lithium nchini niligundua ramani ya "Mining Cadastre" haipatikani tena. (http://portal.madini.go.tz/map/)
Wizara ya Madini...
Habari JamiiForums.
Manispaa ya Singida vyoo vya umma katika stendi ya zamani, vyoo havina sinki za kunawia mikono, zilizopo zimeharibika wameweka ndoo na kikombe, mtu akitoka chooni anachota...
Wakuu,
Eneo hili nadhani lishasemwa sana mpaka nimekuwa sugu.
Au ni kitege uchumi? Madereva wafanye makosa muende kukusanya hela ya skukuu?
Mamlaka husika embu fanyeni kweli bana, hii sehemu...
Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una...
Kumekuwa na Tatizo sugu la kukatika umeme Kigamboni. Nafikiri sekta binafsi inaweza kuliendesha vizuri na kwa uweledi Mzuri hili shirika kuliko hizi adha tunazozipata hivi sasa chini ya Serikali.
Habari za muda huu Wanajamvi,
Hii Kampuni ya TTCL ni sikio la kufa na wala halisikii dawa tena, haifanyi vizuri kwenye mawasiliano ya simu kawaida wala kwenye Internet. Mimi nipo Dar es Salaam na...
Habari
Naomba mtusaidie kupanza sauti kwa mamlaka zinazohusika, Kutokana na uchafu uliokithiri vyoo vya Chuo Kikuu Dodoma na hali iliyopo kwa sasa ya masika muda wowote kutatokea magonjwa ya...
Tusaidieni kupaza sauti kwa wahitimu wa Masters chuo Cha Uhasibu Arusha IAA, graduation ni Ijumaa ya tr 13 December , mpaka sasa matokeo ya utafiti hayajatolewa , majina ya wanaotakiwa kuhitimu...
Licha ya wahusika kujenga mabwawa eneo la Mabibo kwa lengo la kuweka usalama wa kuhifadhia majitaka yanayodaiwa kutokea viwandani lakini Wananchi wapo hatarini kuathirika na maji hayo kutokana na...
Mimi ni Mkazi wa Mtaa wa Mazimbu Darajani, Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro, jamani mtaani kwetu huku kumekuwa na changamoto ya mto kujaa na kufurika maji hasa kipindi cha mvua hali...
Habari wana JF.
Leo napenda kuzungumzia kero ya huduma za Afya katika zahanati nyingi za mkoa wa Tabora.
Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la ufunguzi wa zahanati...
Hivi huu Mkoa wa Tabora viongozi wa Wakala ya Barabara za Mjini na Vijijini TARURA wapo kweli?
Maana Barabara ya Madaraka iliyopo Mtaa wa Madaraka Manispaa ya Tabora imeharibika na inazidi...
Wakala wa Barabara za Vijiji na Mjini (TARURA) Mkoa wa Katavi timizeni wajibu wa kujenga daraja katika Mto Nsemlwa, Manispaa ya Mpanda kivuko kilichojengwa na mtu binafsi kisiwasahaulishe jukumu...
Wana JF mmelala?
Jamani hivi hizi train zipo kwaajiri Gani? Ukiachana na SGR Kuna Train inaitwa Deluxe, watu WA kigoma mwanza Tabora mtakuwa mnanielewa.
Hii Train inaelekea mkoani kutoka dares...
Habari gani wanaJamiiForums?
Mimi ni mdau wa jamvi la JamiiForums nikitokea Kilwa Kivinje Mkoa wa Lindi. Nina mambo mawili ninataka kuyafichua kwa leo.
Moja, ni kuhusu walimu wa kiume wa shule...
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwakweli mnachokifanya sio sawa, mnaingilia faragha zetu kwa kutuwekea CCTV camera kwenye vyoo vya kiume vya 'public' vilivyopo kwenye jengo la wodi ya wagonjwa wa...
Tunakosa hata huduma ya Bajaj na Daladala sababu ya njia mbovu, hutulazimu kutumia bodaboda na kukatisha kwenye viwanja vya watu. Mamlaka zinazohusika na Miundombinu hii ziangalie namna ya...
Kwanini mfuko wa jamii wa PSSSF hauna ofisi wilayani au hata wawakililishi? Mtu unasafiri umbali mrefu kufuata huduma mpaka mkoani unatumia gharama kubwa sana
Mkuu wa mkoa wa Arusha anaonekana kushughulika sana na masuala ambayo hayaleti tija kubwa kwa wananchi.
Mkoa wa Arusha una changamoto kubwa ya maisha magumu kwa wakazi wake, hali inayozidi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.