Kama kichwa cha habari hapo juu. Baadhi ya taasisi za serikali kama TAA, TANROADS nk zimekuwa zikitoa mahanadi za kazi na kuwataka waombaji waombe kwa mfumo wa Posta tu, lakini pia hutakiwa...
Huku mtaani kwetu Machimbo, Kitunda hapa Dar es Salaam tuna kero ya umeme, unakatika takribani kila siku, kuna wakati unakatika na kurejea ndani ya muda mfupi na kuna muda unakatika muda mrefu...
Umeme umekuwa na tatizo kubwa sana Maeneo ya Mbezi na Kimara umekuwa unakatika na kurudi mara kwa mara, na kuna muda unarudi unawasha taa tu, hauwashi hata Fridge wala AC kwa kuwa unajua kinaweza...
Mtaa wa Buganda, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana - Mwanza. Barabara ya Mtaa ni mbovu sana, watoto wanateseka kwenda shule, watu wenye magari hawayatumii tena, Bodaboda wamepandisha nauli...
Tabora Manispaa umeme unakatika sana bila mpangilio na hakuna taarifa yoyote, wanakata mchana na usiku, mjini kati, Ipuli, Isevya na maeneo mengine umene unakatwa ovyo ovyo.
Siku haiishi bila...
Kituo cha Mafuta cha Oasis kilichopo Mwenge kimegeuka Kituo cha Daladala na Bajaj kiasi cha kuhatarisha maisha na kuwa kero kwa watumiaji sahihi wa kituo hicho.
Mamlaka husika shughulikieni hili...
Kama tunavyofahamu na kuelewa Umeme ni nishati iliyo na nguvu sana na inayorahisisha mambo mengi ktk jamii kama kusaga nafaka flani, kupooza kwenye friji bidhaa flani, kuchomelea, Masaluni n.k...
Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro.
Si network ya...
Sisi Wakazi wa Pemba kuna jambo limekuwa likitutesa kwa muda na kutuathiri sana sisi Wananchi wa eneo hili.
Miaka ya hivi karibuni Serikali imekuwa ikijenga masoko ya kisasa katika kila Wilaya...
Sisi watumiaji wa barabara ya kutoka Njelela kupitia Miva na Uwemba Wilayani Ludewa Mkoani Njombe tunasikitika kutelekezwa kwa vifusi vilivyomwagwa kwenye barabara hiyo.
Tunaelewa lengo zuri za...
Mimi ni Mwanafunzi nimehitimu katika Chuo cha Mipango Dodoma Mwaka 2024, changamoto tuliyoipata ni kwamba baada ya Serikali kutuongezea hela ya ada Wanafunzi tuliyokuwa tumeshalipa hatujarudishiwa...
Ijiumaa hii mpaka Muda huu Saa nane kasoro usiku nipo hapa Chantabull na hakuna mpango wowote wa kufunga mageti.
Nina uhakika Hamna night club yenye kibali hapa Manispaa, basi muwaambie wenye...
Sisi Wanafunzi wa St. John's University of Tanzania cha Dodoma tunakidai chuo hela ambazo tulilipa kabla hatujalipiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), tumeandika barua nyingi sana kuomba...
Mimi ni Mkazi wa Manispaa ya Iringa, Kata ya Ilala, Mtaa wa Kajificheni kwa niaba ya wenzangu tunaomba msaada wa kusemewa kuhusu shimo lililotelekeza kwa dhumuni la kutengeneza ‘kalavati.
Kuna...
Wanabodi, kuna tabia inayozidi kuonekana ambapo bodi ya mikopo inatembelea ofisi za watu ikiwa na orodha ya wadaiwa wa mikopo.
Cha kushangaza, orodha hii mara nyingi inajumuisha majina ya watu...
Tanesco Tanesco Tanesco
Nimewaita mara tatu kuomyesha Msisitizo.
Hii wilaya ya Nachigwea mkoa wa Lindi kwanini mnakata umeme mara nyingi kiasi hiki na Bila Taarifa kamili.
Mfano leo mshakata...
Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata...
Tangu Mwaka 2024 umeanza hakuna mtu kapitishiwa ombi lake kwenye Mfumo wa ESS, sasa Watu tunashangaa nini kinaendelea wakati maelekezo ya Waziri ni kuwa kila Mtu apitishiwe maombi halafu Wizara...
Leo Jumatatu tarehe 2 Dec 2024, muda huu ni saa tatu na dakika 45 usiku Mitaa ya Forest Mpya kwa Mwamnyange kuna gari la matangazo linatoa tangazo kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuhusu mauzo...
Kwa wauzaji wa reja reja wa soda hulazimishwa na Kampuni ya Pepsi, kununua soda wasizotaka kununua wala wasizo na wateja nazo Ili wapewe soda aina ya Pepsi.
Huu ubabe wa Kampuni ya Pepsi unakera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.