Mamlaka ya Maji Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara imekuwa ikitoa huduma kwa matabaka ambapo baadhi ya mabomba yakikosa maji
Tungekuwa tukitoa malalamiko kwa sekta husika ila tunapokea majibu...
Kuna kitu kinakera mno pale ambapo unatengeneza tatizo na kuliacha wananchi wateseke. Tanroads barabara za Kigamboni kama mlikuwa hamna pesa hakukuwa na ulazima wa kuzifumua na kuacha kero kwa...
Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo...
Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake.
Mawakala wa halmashauri wanaohusika na...
Sisi wateja tuliofungiwa Meter za Maji za Prepaid tumekuwa hatupati tokeni za maji pindi tunaponunua maji kwa njia ya Mtandao hapa Mkoa wa Kagera.
Mfano toja wiki iliyopita nilinunua maji mpaka...
Kwa wale mnaokuja njia Morogoro road hapa Kibaha maili moja kuna foleni sio mchezo magari yamezimwa kabisa kuna mkubwa tunahisi anataka kutumia njiaa hii so inabidi watu wa kawaida tusubiri
Tanzania, nchi ya uchumi wa kati, miongoni mwa nchi zinazoendelea kwa kasi barani Africa, yenye wananchi watiifu kwenye ulipaji kodi, inayoongozwa na serikali inayohamasisha bihashara na uwekezaji...
Chuo Kikuu cha Dodoma hakijapeleka baadhi ya taarifa za wanafunzi kwenda Bodi ya Mkopo, mpaka hivi sasa karibu asilimia 40 ya Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao za kujikimu, na pia...
Husika na mada tajwa hapo juu.
Tanzania ni Nchi ya ajabu sana kuwahi kutokea hapa Duniani, Tanzania ni Nchi ambayo bado iko nyuma sana na mambo ya teknolojia.
Tanzania tuna Kitambulisho cha...
Kuna hizi shuguli za wakina mama wanaziandaa sijui birthday nakadhalika, humo ndani ni kutukanana, kusutana na sherehe hizo ndani mashoga wanajiachiaaa tu, yaani humo ndani full laana
Naona haya...
SGR, mbona mnajihujumu wenyewe halafu mnalalamika kwamba watu wanahujumu na wanapaswa kukamatwa na kufungwa adhabu kali? Mimi nadhani kwanza mnapaswa kuwachunguza na kuwachukulia hatua wafanyakazi...
Kuna changamoto ya miundombinu ya Barabara katika eneo la Igogo inayopita Soko la Wafanyabishara Wadogo la Mchafu Koga.
Changamoto hiyo inasababisha vyombo vya usafiri hasa Daladala kutopita...
Hili ni moja ya majengo yanayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika zamani Mpanda DC yaliyopo Manispaa ya Mpanda, Jambo la ajabu jengo hili limetelekezwa kwa sababu mazingira yake...
Habari viongozi na wadau wa TANESCO, hii shida narudia tena kuitandika hapa, njia hii ya umeme kutoka kimara baruti kwa miaka mingi haishi matatizo, toka enzi zile transfoma ipo juu hadi...
Habari,
Natumani tunaendelea vizuri katika ujenzi wa Taifa letu, pia ningependa kuwapa pole wale wote waliofikwa na maafa na watanzania wenzangu kwa ujumla kwa tukio la kuporomoka kwa jengo...
Eneo la Iyumbu NHC Dodoma limekuwa na tatizo sugu la maji kwa zaidi ya mwaka sasa, mwanzo sababu mbalimbali zilikuwa zikitolewa ikiwamo kutumia kisima kimoja cha maji na chuo cha UDOM hivyo...
Naandika hapa nikiwa na jazba kwasababu sina access ya kuzungumza na mtoa huduma moja kwa moja wa Vodacom huduma kwa wateja.
Kila nikipiga namba 100 napokelewa na sauti ya computer na hakuna...
Habarini ndugu zangu,
Naomba nisiwachoshe, bali niingie moja kwa moja kwenye swala la msingi. Kuna mtaa hapa Iringa mjini unaitwa Mashine Tatu, ambao ni mtaa wa pili kwa idadi kubwa ya...
Vodacom wamekuwa na makato yasiyoeleweka kwa mawakala wa mitandao ya kifedha hasa mkoa wa Mbeya, inapokaribia mwisho wa mwezi wanakata pesa kwenye faida ya wakala ambayo angeipata, ukiwapigia na...
Wakuu inaumiza, inakoroga na kukata maini kabisa. Fikiria kwanza vyoo vya umma vinavyoshughulikiwa kila baada ya dakika 6. Masizi, michanga, matope na chembechembe za vinyesi zinayotapaa pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.