KERO Threads

Ni zaidi ya saa nne sasa hakuna huduma kwasababu ya mtanndao! Kila Mgonjwa anayefika hapo anaambiwa kirahisi rahisi tu kuwa hakuna mtandao Cha kusikitisha zaidi ni majibu tunayopewa ni wakavu...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Hili ni Bomba la Maji ambalo lina miaka kadhaa sasa halifanyi kazi, tunategemea maji ya kwenye visima. Wananchi wa Kwa Pengo, Sheya ya Sizini Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna...
4 Reactions
8 Replies
396 Views
Shida ya maji Kata ya Pangani, Halmashauri ya Kibaha Mji Mkoa wa Pwani. Ndugu Admin/moderator naomba kutoa malalamiko yangu juu ya wizara ya Maji, kwani pamekua na shida ya maji miaka nenda rudi...
0 Reactions
1 Replies
358 Views
Anonymous
KERO
Habari JamiiForums, Ni miaka minne sasa tangu DAWASA Kibaha walivyositisha huduma ya maji Kibaha - Pangani - Mtakuja. Mara ya mwisho maji yalitoka November 2020 hadi leo maji hayatoki na hakuna...
2 Reactions
2 Replies
519 Views
Suala la Umeme CHATO, imekuwa ni kama anasa vipi huko Msoga na Kizimkazi hali ni hii pia? Kwakeli sijui Wanachato wameikosea nini Serikali hii. Adha ya umeme niliyoikuta huku ni kubwa mno, muda...
0 Reactions
1 Replies
139 Views
Sisi Wafanyabiashara na wakazi wa Geita, kwa miaka mingi sasa stendi yetu imekuwa na miundombinu mibovu. Miaka nenda rudi kilio chetu kimekuwa ni uboreshwaji stendi yetu lakini hakuna kitu...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Wapiga Debe katika Stendi ya Daladala ya Mbezi Luis wamekuwa kero kubwa kutokana na yale wanayoyafanya kila siku kutuoni hapo kwa nia ya kutafuta Abiria wanaoelekea katika Kituo cha Mabasi cha...
7 Reactions
17 Replies
868 Views
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Nyabulogoya, Kata ya Nyegezi tuna changamoto ya kukosekana kwa chombo imara cha kuweka taka katika maeneo yetu licha ya kuwa tumekuwa tukitoa taarifa kwa Mamlaka...
1 Reactions
0 Replies
347 Views
Anonymous
KERO
Muda mwingi mifugo wanakaa juani. Hakuna kivuli cha kuwakinga na jua, ama eneo maalumu la kulishia. Wanakaa pamoja na kuficha vichwa kwa kujikusanya pamoja, kukwepa makali ya jua. Pia, mfereji...
0 Reactions
1 Replies
174 Views
Asilimia kubwa ya sisi Wafanyabiashara Kisiwani Pemba tunapata wakati mgumu kuhusu suala la kodi na ushuru mkubwa tunaotozwa katika Bandari ya Unguja pamoja na Bandari ya Pemba Hali hiyo imekuwa...
1 Reactions
8 Replies
558 Views
DAWASA KINYEREZI WAHUJUMU UCHUMI… Hii ni habari ni inayopaswa kuchukuliwa na kufanyiwa kazi na Mamlaka nyingine za nchi kwa haraka sana. Ni hivi, kutokana na uhitaji wa maji kuongezeka na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Great thinkers, Naona huyu Mkurugenzi wa SGR anachezea serikali ya Dkt Samia, inakuwaje AC za Jengo la Abiria Magufuli hapo Dar AC hazifanyi kazi? Nashauri Dkt Samia tumbua huyu Mkurugenzi maana...
3 Reactions
54 Replies
8K Views
Msimu wa mvua umeanza ndani ya jiji la Dodoma. Katika mchakato wa kuweka hali za barabara zetu katika hali nzuri serikali ya mkoa/halmashauri ya jiji la Dodoma ilimwaga kifusi katika barabara...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Anonymous
KERO
Mh. waziri wa maji tunawasilisha kwako barua ya kero na Usumbufu mkubwa wa upatikanaji wa maji mji mdogo wa Ushirombo, Wilaya ya Bukombe. Hii yote ni kukosekana kwa uwajibikaji kwa Mkurugenzi...
0 Reactions
4 Replies
357 Views
Kwenu Wahusika, Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama...
1 Reactions
9 Replies
516 Views
Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport. Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Vipaza sauti vinavyotumiwa kwaajili ya kutangaza biashara katika eneo la Karume jijini Dar es Salaam vimekuwa kero na kelele za hali ya juu sana. Yaani hakuna kinachosisikika bali ni makelele kwa...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa...
3 Reactions
30 Replies
835 Views
Hapa Mtaani kwetu Magomeni Jitini katika Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda wa wiki tatu sasa. Kuna Barabara imechimbwa, hakuna ujenzi...
0 Reactions
2 Replies
319 Views
Kuna kundi la watu wapo eneo la Geti la Pili kwenye bandari kavu jijini Mbeya, mbele kidogo ya Iyunga unapoelekea Mbalizi. Watu hawa hukamata bajaji mchana kweupe wakiwa na marungu kuzuia bajaji...
0 Reactions
2 Replies
213 Views
Back
Top Bottom