Vyuo vyote Tanzania vya elimu ya juu vimeshafunguliwa. Kadhia kubwa iliyopo kwa Sasa ni bodi ya mikopo kushindwa kuwapatia wanafunzi boom yaan meals and accomodations kitendo ambacho kinasababisha...
Maeneo ya Buza, hususan Mwembeyanga, yamegeuka kuwa kitovu cha changamoto kubwa za kimazingira.
Mtaro wa maji machafu unaoanzia Mwembeyanga hadi karibu na Kituo cha Daladala cha Usalama...
Taarifa iwafikie Idala ya Maji safi na maji taka mkoa wa Mbeya.
Hivi huwa mnautaratibu wa kukagua chemba za maji taka hapa jijini maana mji mzima umekuwa ukinuka harufu ya maji taka.
Mwanzo...
Ucheleweshaji wa Pasipoti: Changamoto na Maswali Yasiyojibiwa
Mnamo tarehe 23 Septemba 2024, nilikamilisha hatua ya kwanza ya maombi ya pasipoti ya kawaida kwa kujaza fomu namba 24ER-Y091-Q020 na...
Ni wazi kuwa BRELA imefanya kazi kubwa katika kusaidia usajili wa majina ya biashara na kampuni hapa Tanzania, lakini changamoto ya mtandao wao kusumbua inazidi kukatisha tamaa wengi, hasa nyakati...
Habari Zenu,
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na ni mtumiaji wa barabara ya Bagamoyo Road. Kila siku napita kwenye barabara hii kwenda katika majukumu yangu ya kila siku, lakini aisee, mataa ya...
Wadau habarini,
Mimi ni mwalimu katika moja ya vituo binafsi vya mitihani kwa private candidates (Mufindi DC). Tuna wanafunzi wa kike waliokuja kwa programu maalumu ya serikali (SEQUIP) ambao...
Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia...
Nimefika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala Jijini Dar esa salaam.
Baadhi ya wagonjwa wanalalamikia ucheleweshaji wa huduma mbalimbali zitolewazo hospitalini hapo.
Tusikilize baadhi ya wagonjwa...
Mimi ni Mwanafunzi wa degree, nipo Mwaka wa Pili katika chuo Cha Abdurahman Al-Sumait kilichoko Zanzibar.
Mimi na wenzangu tulipata ufadhili wa masomo (Scholarship) kutoka Taasisi ya Direct Aid...
Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha.
Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja...
Basi la VIP Dar kwenda Arusha inakuwaje muhudumu wenu ajipulizie Manukato wakati ndani ya gari kuna air conditioning na madirisha yamefungwa.
Ni usumbufu Kwa abiria na wengine Wana matatizo ya...
Naomba kuwasilisha kero sugu iliyopo katika Halmashauri ya Nachingwea upande wa Idara ya Utumishi, kumekuwa na mikingamo mingi na mazingira tata katika utoaji wa barua za uthibitisho na barua za...
Habari, imekuwa tatizo, kero, usumbufu kwa wakulima wa mahindi nchini linapokuja suala la kuuza mahindi kwa wakala wa chakula NRFA kulipa fedha kwa wakati.
Waziri wa kilimo katika ziara ya Mh...
Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana...
Kumekuwa na shida sana kwenye Namba za Huduma kwa wateja kwenye baadhi ya Wizara za Serikali, kama namba ya huduma kwa wateja Wizara ya Ardhi , mwananchi unapata shida ili upige simu upate msaada...
Machinjio ya Kimara yanatupa wakati mgumu majirani. Maji yanoyotiririshwa kwenye mitaro yanafanya uchafuzi
wa hali ya hewa.
Serikali iangalie upya suala hili
Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa.
Ushuru tunaolipa getini na...
Mimi ni mdau natokea Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, naishi hapa makao makuu ya Wilaya, Mjini Mhanuzi.
Sisi Wananchi wa makao makuu ya Wilaya hapa Meatu Mjini Mhanuzi, tunayo mashaka makubwa na...
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ma lecturer wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kuwa wanapekua simu za wanafunzi upende wa messages.
Hii mara nyingi inatokea pale mwanafunzi anapoingia darasani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.