Kwema wakuu?
Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi...
Habari za muda huu waungwana, kutokana na ujenzi unaoendelea wa upanuzi wa barabara kutoka Ubungo mpaka Kimara mwisho haya mataa ya hapa Korogwe, Bucha (kwa Thomas) nasikia hili jina lilikuja...
Hii sasa imekuwa kero kubwa kwa wateja wa wanaopata huduma katika Ofisi ya TANESCO Tukuyu.
Mwanzo huduma ya kubadili matumizi ya umeme kutoka matumizi makubwa kwenda madogo ilikuwa inatolewa...
Kumekuwa na ukiukwaji wa sheria za Mipango Mji katika mji mdogo wa Bomang'ombe Wilaya ya Hai, mkoa wa kilimanjaro.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mazingira wakishirikiana na ofisi ya biashara na...
Ni wiki sasa tangu nione kukatika kwa umeme maeneo mbali mbali hapa Dar.
Hivi navyoandika hapa mtaani nilipo umeme umekatika na jana pia ulikatika najiuliza je, kuna mgao?
Kama kuna mgao kwa...
Wana Jf hamjambo???
Hapa Msasani ni siku ya 5 leo taka zimetolewa na Gari halionekani.
Watu wametangaziwa kwamba watoe taka gari linapita jioni kubeba taka, mbaya ni kwamba mpaka Leo zipo na ni...
Hapa ndani kuna umati wa watu wanasubiri kuvuka na boti ndio moja na zile ndogo. Hivi kwanini hapa wasipewe tu wawekezaji, jamani Kigamboni tunateseka sana.
Zaidi ya wiki sasa Maji katika Mtaa wa Sabasaba Gula Road karibu na Uwanja wa Ndege yamekuwa yakimwagika kama hayana mwenyewe.
SUWASA wamejulishwa ila hadi leo hawajafika na kuna maeneo mtaa...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) tunaomba mtusaidie katika hili maana sasa imekuwa mazoea Kwa madereva daladala.
Daladala za Nsalaga kwenda Stand kuu zimekuwa zinakatisha ruti kwa...
Moja kati ya madereva wa hovyo ni wanaoendesha bajaji
Kati kati ya foleni wanapita katikati kama boda
Anaweza akajipenyeza.mbele yako kwa kushtukiza na hazina balance ukizigonga tu zinapinduka
Kumekuwa na utaratibu usio rasmi wa walimu hasa wa shule zilizopo maeneo ya vijijini kuvunja ratiba za masomo na kupeleka wanafunzi kulimia mashamba yao.
Mfano shule ya msingi Nyamagana na shule...
Wiki Moja iliyopita Chama kikuu cha ushirika Tunduru kiliendesha mafunzo kwa viongoz wa vyama msingi yaani AMCOS zote za wilaya hii, jumla ya wajumbe waliohudhuria mafunzo ya walikuwa 586 na...
Naomba nitumie jukwaa hili kuwasilisha dukuduku yangu nikiwa naamini ujumbe utawafikia wahusika kama ambavyo tumekuwa tukiona kwenye baadhi ya kero ambazo zimekuwa ziibuliwa hapa jukwaani.
Ni kwa...
Wakazi wa kata ya Kidongo Chekundu Manispaa ya Tabora wanaoishi karibu na shule ya msingi ya Mpepo wamekubwa na hofu kubwa kwa watoto wao kufa maji pamoja na kubomoka kwa nyumba zao baada mtaro...
EWURA hii tabia ya wamiliki wa vituo vya mafuta kuuza nishati ya mafuta ya Petrol na Dizel kwenye madumu mtaikomesha lini huyu? Huyu kwenye picha ni mmoja kati ya Wananchi wanaonunua mafuta kwenye...
Habari zenu,
Leo mimi kama member of JamiiForums nimekuwa na muda kupita ofisi za RITA halmashauri ya wilaya ya Kongwa, kiukweli nimesikitishwa na namna watumishi wake walivyo kosa weledi wa...
Shule ya msingi Sabaga ipo Mkoa wa Kigoma wilaya ya Kasulu vijijini, Shule hii ina zaidi ya wanafunzi 1,567 na kuna vyumba 8 tu ya madarasa, Licha ya uhaba wa madarasa pia kuna uhaba mkubwa wa...
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Mwananyamala Kisiwani Kwa Kidile tuna kero yetu ya takataka, zimekusanywa sehem ya makazi, zina wiki sasa kiasi kwamba funza na wadudu wengine wameanza kusambaa
Bila...
Najitambulisha kama Mwanachuo wa Chuo Kikuu kimoja hapa Tanzania na mdau wa Jamii Forums.
Nalalamikia Loans Board kuchelewesha malipo kwa Wanafunzi vyuoni. Mfano chuoni kwetu tumefungua Tarehe...
Mimi ni mmoja wa wadau wa JamiiForums, kuna kitu nataka nishauri au kukemea kabisa. Kuna vitu hawa Mama Lishe au Mama Ntilie wanafanya siyo kabisa kwa afya ya Wateja wao kupitia vitafunwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.