Mimi ni miongoni mwa wakazi wa Kata ya Tura, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, ninaiomba Taasisi ya TANESCO kushughulikia suala la ukatikaji wa umeme kwani kumekuwa kikwazo kikubwa kwa biashara...
Kwa sasa makato ya kodi unaponunua LUKU yameongezeka kutoka TZS 1,000 mpaka TZS 2,000.
Tunaomba maelezo kwanini gharama hizi zineongezeka? Kuna sababu gani ya kuendelea kufanya maisha ya...
Niende moja kwa moja kwenye kero yangu, kuna kiwanda cha kuyeyusha chupa za plastiki kipo opposite na Mto Msimbazi (njia panda ya kwenda Kigogo) kile kiwanda hakina mabomba ya kusafirishia moshi...
Mimi ni mkazi wa Buswelu, manispaa ya Ilemela mkoa wa Mwanza. Imenibidi nihame nyumba yangu nikapange sababu ya ukosefu wa maji.
Ndani ya wiki maji yanaweza kutoka mara moja tu, ikitokea yametoka...
Hii njia kama wewe ni mkazi wa huku nadhani unaelewa maumivu tunayoopitia wananchi. Hazipiti siku mbili au tatu bila kuwa na shida ya ajali na kusababisha foleni. Lakini wakati mwingine kupelekea...
Habari JamiiForums, mimi ni mkazi wa Dodoma, Makulu Oysterbay mtaa unaitwa Mapinduzi. Ni miezi miwili sasa maji hajawahi kutoka hata tone maji na hamna taarifa yoyote wala tahadhari na ni hali...
Huduma kwa wateja ni kipengele muhimu katika kutoa huduma kwa kuwasaidia wateja kupata taarifa au utatuzi wa changamoto wanazokutana nazo.
Lakini hapa nchini baadhi ya makampuni yanayotoa huduma...
Hivi unafahamu unapigwa katika parking?, Hawa jamaa wanapiga sana unapo egesha gari hata kama ukiondoka wao wanatunza kumbukumbu lisaa likiisha wanaongeza muda hata kama wewe upo kwako umelala...
Tunaomba wizara husika itutolee ufafanuzi juu ya bei ya ruzuku ya mbolea : Mfano sms hapo chini👇🏾👇🏾
Ndugu XXXXXX Na. ------- umenunua DAP - 50 KG idadi 1 Tsh76701.33 kwa [TFRA-06----1] Kama...
Wakuu,
Msione kila siku napiga kelele mkadhani nazingua, leo naweka baadhi ya screenshot muone majibu ya DAWASA ya kipuuzi na wananchi tunavyolilia huduma utafikiri tunaipata bure!
Pia soma: √ -...
Wadau, hii mitandao ya simu imeona kuna fursa kubwa kwenye malipo ya mtandaoni hasa Kwa kutumia hizi virtual cards. Nimeshangaa Kuona bili ya Dola 17.2 zimekatwa elfu sitini na mbili yaani...
Viongozi wa Serikali Mkoa wa Mwanza ebu angalieni Afya na utu wa wananchi wenu. Hivi kweli Wilaya ya Nyamagana tena Jiji kabisa mmekosa sehemu nzuri ya kuwaweka wafanyabiashara wadogo wadogo na...
Mkandarasi aliyepewa tenda ya kutengeneza barabara ya kilometa 31 ya Geti Fonga-Mabogini-Kahe wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro anasababisha kero kwa wakazi wa maeneo inapopita barabara hiyo...
Habarini wadau.
Ninachangamoto ya kiafya kidogo nipo hospitali.
Sasa nimefika hapa nakuta mambo yamebadirika serikali imeamua kutumia mifumo katika tiba
Sasa changamoto iliyopo ni tatizo la...
Wakuu,
Nishachoka kuja kulalamikia maji hapa, mnatufanya kama watoto tunapewa pipi tumun'unye halafu mnatupokonya. Yaani kama vile sasa hivi tupo kwenye mgao, na maji bado yana harufu mbaya...
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Kipindi cha miezi kadhaa iliyopita mwaka huu, Mimi kama mkazi wa hili eneo, niliandika hapa juu ya Dampo ambalo siyo rasmi lililoanzishwa na Halmashauri ya Mji wa...
Salama ndugu zangu napenda nitoe duku duku langu kwa sisi mawakala wa CRDB.
Kuna utaratibu mpya CRDB Bank wameunzisha kwamba huwezi kumtumia wakala mwezako floats kwa free charge. Nipende...
Jamani hili jambo limeniuma sana, kuna viwanda viwili vipo sehemu moja, kiwanda cha maji na juice na kiwanda cha kuku vipo Kibaha Visiga karibu na makazi ya binadamu vimekuwa vikisababisha kero...
Vodacom kwa kipindi kirefu umekuwa ni mtandao tegemezi kwasababu ya ubora wa huduma zao zinazopatikana sehemu nyingi nchini kuliko mtandao mwingine kama ifuatavyo;
1. Huduma za kipesa ( mpesa)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.