Mamlaka hii inayosambaza Maji ya bomba viijiji vya Lyamungo, Umbwe, Sambarai, Manushi juu na chini, Mailisita, Kimashuku, Mbatakaero, Longoi na Kinamiri, imekuwa kero kwa miezi kadhaa Sasa...
Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum,
Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class.
Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni...
Nawasalimu.
Pale Gongo la Mboto mwisho ikishafika saa moja jioni wanaanza kujitokeza kwenye vichochoro vyao na nguo za kuamsha hisia.
Utasikia "Shemeji nimekupenda ulivyo mrefu mweusi, njoo basi...
Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi.
Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea.
Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine...
Kuna ajali ilitokea jana maeneo ya Kanambe Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazi Pemba, gari la fuso ambalo lilikuwa limebeba mchanga liliachia njia na kuanguka.
Kuna mtu mmoja alipoteza maisha...
Mimi ni Mkazi wa Kata ya Yombo Vituka, hapa mtaani kwetu moja ya kero kubwa ni kukosekana kwa utaratibu mzuri wa utaratibu wa kulipia malipo ya taka.
Viongozi wetu wa Serikali ya Mtaa wanaweza...
Leo kwenye kipindi cha asubuhi cha Wasafi fm wameruhusu kupokea simu za malalamiko ya ukosefu wa maji, kwa hakika ni huzuni na masikitiko makubwa inaonekana eneo kubwa sana la jiji la Dar halina...
Wakuu,
Nakuja kwenu Afisa Maji wa kujiteua mwenyewe kwa wakazi wa Mbezi Beach na Dar kwa ujumla.
Kiukweli Dar kuna upungufu mkubwa wa maji, yaani kadri siku zinazovyoenda hali inazidi kuwa...
Mimi ni mkazi wa Kahama Mjini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu sekta mbili: Kahama Urban Water Supply (KUWASA) na Tanesco Kahama.
Huduma ya umeme imekuwa kero, kwani umekuwa ukikatika...
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.
2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.
NB...
Eneo la Msufini, Manispaa ya Singida ni mashughuli na maarufu kwa biashara hapa Singida. Shughuli nyingi za biashara za aina mbalimbali zinafanyika karibia eneo lote la Msufini.
Kinachosikitisha...
Nimeona miaka ikienda lakini stendi ya Tegeta Nyuki ambayo ni moja ya stendi kubwa tu inayobeba magari mengi yanayofanya safari zake maeneo mengi katika Jiji hili la Dar es Salaam.
Kwa mfano kuna...
Mimi Mkazi wa Geita kwa muda mrefu sasa mkoa wetu umekuwa na changamoto ya mgao wa maji.
Maji yamekuwa yakitoka mara moja kwa wiki. Hii ni kwa Mtaa wetu na maeneo mengine mengine.
Kila tukiuliza...
Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi— Institute of Social Work, Bamaga, Dar es Salaam wanalalamika ratiba za masomo zinazoenda mpaka Saa 4 Usiku. Hii inahatarisha usalama wao hasa wakati wa kurudi makwao...
Tar 03/11/2024 niliweka Tsh.20,000/= kwenye account yangu ya tigo pesa, tar 04/11/2024 asubuhi nikakutana na hii,
👇👇
Dear Customer, you have Successfully done Payment...
Mbunge wa Mkalama Francis Isack Mtinga ameuliza Swali bungeni Leo Novembar 4, kwa Naibu Waziri wa Tamisemi Zainabu katimba Kuwa ni lini Serikali itajenga Shule ya Sekondari na Kituo cha Afya...
Serikali/mamlaka husika ijaribu kufuatilia na kuchunguza uongozi wa chuo cha maendeleo ya wananchi same -kilimanjaro (FDC), hadi sasa baadhi ya wanafunzi waliowahi kumaliza chuoni hapo...
Tunaiomba Serikali kupitia Wizara husika ijaribu kufatilia chuo hiki kuna kila dalili za kutokuwajibika kwa watumishi wake na kutokutumia madaraka yao vyema, wapo wanafunzi waliowahi kusoma chuoni...
Serikali ya wilaya ya Kasulu imekaa kimya tu wananchi walipakodi tunashinda na kulala gizani.
Haya ndiyo mambo yanayosababisha watu tujifunze kukwepa kulipa kodi maana hatuoni umuhimu wake...
Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis?
Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.