Na ni waziri wa mipango na uwekezaji, proffesor nzima huyu[emoji22]hivi huwa wanapewa wizara wakati majimboni mwao ni tabu?
Huyu kitila mkumbo ni kama kalitelekeza jimbo lake la Ubungo. Barabara...
Salaam Wanajukwaa,
Naomba kero yangu ifike kwa waziri Jumaa Aweso kilio chetu Wananchi wa Singida, SUWASA inatuua.
SUWASA inatukandamiza, inatuonea, bili za maji za huku kwetu ni mitaji ya Watu...
Juzikati Oktoba 23, 2024 nilipofika eneo la Mti Mmoja - Monduli (Arusha) nikiwa njiani kuelekea Dodoma nikitokea Arusha, niliona jambo la kushangaza sana, nilishuhudia Wanafunzi wa shule wakinywa...
Katika Makutano ya Morocco ambapo Barabara za Ally H.Mwinyi,Mwai Kibaki na Bagamoyo zinapo kutana na Makutano ya Mwenge.
Inapofika mida ya jioni kuanzia saa 10, Trafiki huwa wana tabia za...
Kuna kukatika maji haya maeneo wiki nzima kwa sasa na hakuna taarifa maalum kwa wateja kutoka Mwauwasa,kuna mdau yoyote anajua kinachoendelea?
Kilichopo ni kwamba unaweza stuka ghafla maji hamna...
Jambo la kuzingatia:
Nitatumia DAKTARI kumaanisha wahusika wote wa sehemu za huduma za afya. Pia Nitatumia HOSPITALI kumaanisha sehemu zote zinazotoa huduma za afya
Ujue tumezoea kwenye majeshi...
Ndugu zangu wanaJF, huu ni mwaka wa sita sasa mtanzania mimi nahangaika kupata huduma hii muhimu lakini mpaka sasa nahisi kukata tamaa kwa maana kila nikiuliza naambiwa bado mfumo mpya...
,🥲🥲
Mimi ninaishi kata ya Saranga, kwa Mpapula jijini Dar es Salaam. Jamani huku tunahangaika maji hakuna, hatujaona maji mwaka umeisha sasa, mabomba hayatoi maji tunaishi kwa taabu sana , Kuna...
Sifahamu, ni tatizo la kiufundi, mifumo mbovu au mazingira ya rushwa? Ukitaka kufanya malipo kwenye taasisi hizi za umma kama Tanesco, Duwasa kwa Dodoma na nyingine kama hizo, ili upatiwe huduma...
Mapato yanayopatikana kwenye malipo ya maji si yangeboresha upatikanaji wa maji, na kama inawezekana wafanye utafiti wa kuchimba visima vikuu vya kila wilaya kuliko kusubiri maji ya mto Ruvu maana...
Kelele za matangazo zimekuwa kero na zinaongezeka siku hadi siku katika maeneo ya makazi. Ubaya wa matangazo haya hayajari muda wa kupita.
Asubuhi na mapema kuanzia saa kumi na moja na nusu...
Habari muda huu, natumaini nyote ni wazima wa afya, mimi ni mmoja kati ya maopareta vibarua katika bandari ya DSM ambapo kwa sasa ipo chini ya Dp World.
Kiuhalisia tunapitia mazingira magumu ya...
Kwa kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita usafiri wa meli umekuwa mgumu sana, mpaka sasa meli hiyo haifanyi kazi imesimama pale Nyamisati na raia tunapata sana shida ya usafiri mpaka...
Naomba Serikali isiendelee kufumba macho na kushindwa kutatua tatizo hili ambalo linaweza kupelekea vifo huko mbele.
Mtaa wa La Leo kuna barabara ambayo Ina sehemu ya kuvuka kwenda Tandika...
UTARATIBU MBOVU WA UREJESHAJI ADA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM:
Nilifanya application ya kusoma evening program chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) college ya Journalism and Mass communication...
Sekretarieti ya ajira imetoa majina ya afya ya USAILI wa kuandika, ila cha kusikitisha ni kwamba usaili wa kuandika unafanyika mkoani unapoishi ila usaili wa mdomo unaenda kule ulipoombea kazi...
Kuandikisha watoto ili kuiba kura mshinde muunde Serikali mnaweza, mna kila mbinu za wizi wa kura ili muongoze ila hamna mbinu za kutatua changamoto za mnaolazimisha kuwaongoza.
Au akili huishia...
Habari,
Halmashauri ya Mkalama kwa muda mrefu Barabara za mitaa hazijachongwa kwa baadhi ya maeneo na hii imepelekea kero hasa kwa wakazi Wa maeneo hayo hata kupata ugumu wa kupita na mizigo...
Habari,
Ninakutana na changamoto ya kushindwa kubadilisha vyeti ili niweke vyeti vilivyohakikiwa na mwanasheria kwenye Ajira Portal ambapo inanipelekea kushindwa kuchaguliwa ninapoomba kazi...
Kumekuwa na kero ya muda mrefu sasa katika daladala za Mbweni jambo ambalo limekuwa usumbufu kwa abiria
Kwa mujibu wa LATRA route ya daladala za Mbweni ina Njia mbili
1. Kuna daladala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.